
Paroles de Peace & Love
...
Paroles de Peace & Love Par DJ SEVEN
Asante Mungu kwa kila siku unayotuingezea
Ni wazi kabisa kwamba unatupendelea
Kama makosa mbona daily tunakukosea
Upendo wako kwetu ni mkubwa nashindwa kuelezea
Viumbe wako wanaishi kwa visasi
Kuonyeshana love and peace hawataki
Dunia ingetawaliwa na mioyo safi pengine kusengekuwa na polisi na risasi
Yaani kitu sio kitu tunachangiana
Ndugu mmoja kwa mwenzio mapenzi hana
Kwenye kutafuta riziki kuna mengi sana
Wapo wanaopenda utoboe
Wapo ambao hawapendi bwana
I wish tungeishi kwa peace and love
Everyone would have a decent life
Mitaani kwote kuzagae kiss and hugs
Tungeiweka hii dunia into different vibes
So let’s depend on prayers
God will lead us on the way out
And if we do good stuff when we get there
Only good stuff he gonna pay us
Tunavoishi wala so dunia inavyotaka
Ila tumependa wenyewe
Na ni rahisi we kubadilika kuanzia sasa
Change good kuishi peace and love
Yeah peace and love
(...)
Ecouter
A Propos de "Peace & Love"
Plus de Lyrics de DJ SEVEN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl