Paroles de Na Iwake
Paroles de Na Iwake Par DJ SADIC
Bado nazidi
Karibu church utanipata nikisadiki
Mum ni Sunday
Nairobi wananiita Sadic
Usishangae mama tunapiga tu injili
Silvah, Muhanjii what yah say?
Si ni wakristo tena wa ndani (Na Iwake)
Nipate Bible Study kejani (Na Iwake)
Kutu huwezi tukemba hutupati (Na Iwake)
Tuna shut down stop!
Holy ghost fire na iwake (Na Iwake)
Na iwake (Na Iwake)
Na iwake (Na Iwake)
Naiwa, naiwa, naiwaa
Mbona niwachoche na majani niko na chai
Pale tu kwa cross ndo sir God alinidai
God ako na koti na ye pekee ndo judge
Devil ni accuser repenter sikudai
Mbona niwachoche na mashash na siburn
Mbona niwachoche na malikes za kubuy
Cheki wako lit kindani wanazirai
Nadai kuwa rich kipesa na pia kiroho
Nawakuta, toa hizi flow na malami zawadunga
Kama yule shepherd boy God amenichunga
God amedeliver kwa hii mic mkunga mauta
God amenishika ameniguza
Toa chuja form ni ya Musa na iwake
Moto kutoka juu Elijah na iwake
Zile ni mizuka tanga boss pia ni nare iwake
Weka Yesu ndani na iwake
Si ni wakristo tena wa ndani (Na Iwake)
Nipate Bible Study kejani (Na Iwake)
Kutu huwezi tukemba hutupati (Na Iwake)
Tuna shut down stop!
Holy ghost fire na iwake (Na Iwake)
Na iwake (Na Iwake)
Na iwake (Na Iwake)
Naiwa, naiwa, naiwaa
-- aliniset, akaniset
Akaniset,-- nilifunzwa na Vigeti
Networking imekutokea kwa gazeti
Hao wakristo wa kula nyama wanakucheki
Mtavaa ama mtakula supaghetti
Hii generation ni ya watu wamekreki
Mi nilitumwa kuongelesha mapeddy
Utaongeaje na si na hujawahi kuwa thug
Cheki nilikuwa mahuru
Kabla nishike hizi ndururu
Nilipiga koto Limuru
Mpaka stage ya Nyahururu
Uliza pastor Pius Mwiru
Vitu nilifanya Uthiru
Si ndo tulikuwa wa kwanza gizani kuleta nuru
Ningeangushwa Buru Buru
Asante Baba ulinionyesha nuru
Ah labda ninyonge Grace kwa stage
Ndo wapige nduru
Sai napanda stage
By God's grace wanapiga nduru
Si ni wakristo tena wa ndani (Na Iwake)
Nipate Bible Study kejani (Na Iwake)
Kutu huwezi tukemba hutupati (Na Iwake)
Tuna shut down stop!
Holy ghost fire na iwake (Na Iwake)
Na iwake (Na Iwake)
Na iwake (Na Iwake)
Naiwa, naiwa, naiwaa
Bado nazidi
Karibu church utanipata nikisadiki
Mum ni Sunday
Nairobi wananiita Sadic
Usishangae mama tunapiga tu injili
(Genius Records)
Ecouter
A Propos de "Na Iwake "
Plus de Lyrics de DJ SADIC
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl