Paroles de Nothing But Love
Paroles de Nothing But Love Par DAMIAN SOUL
Mpenzi mmoja Kati ya mamilioni
Kati ya mabilioni
Ni wewe tu..
Mmoja Kati ya mamilioni
Kati ya mabilioni
Ni wewe milele eeh
Tikisa nyavu dakika ya tisini
Karibu ya ubavu wangu mwandani
Hakuna maumivu ni burudani
Niamini mtoto wa kiumeni
Kati ya Mamilioni wa ubani
Kipi nachokuficha sikudanganyi
Ndiwe chaguo langu ninae kuthamini
Nje ndani my sweetie
Ain’t got nothing but love
Nothing but love
Nothing but love for you
Nothing but love
Sina mwengine ni wewe tu
Ain’t got nothing but love
Nothing but love
Nothing but love for you
Nothing but love
Sina mwengine ni wewe tu
Mmoja kati ya mamilioni
Nimeridhia kutoka Moyoni
Nikitazama mwengine sioni
Oni wala sioni
Kiunoni juu mpaka chini
Thamani yako zaidi ya madini
With yo body on me
No! Sitakuacha lonely
Ain’t got nothing but love
Nothing but love
Nothing but love for you
Nothing but love
Sina mwengine ni wewe tu
Nothing but love
Nothing but love
Nothing but love for you
Nothing but love
Sina mwengine ni wewe tu
Mpenzi mmoja kati ya mamilioni
Kati ya mabilioni
Ni wewe tu
Kati ya mamilioni
Kati ya mabilioni
Ni wewe milele...
Nothing but love
Nothing but love for you
Chaguo langu ni wewe tu
Ain’t got nothing but love
Nothing but love
Nothing but love for you
Nothing but love
Ecouter
A Propos de "Nothing But Love"
Plus de Lyrics de DAMIAN SOUL
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl