
Paroles de Natural
...
Paroles de Natural Par DAMIAN SOUL
So beautiful
Melanin skin yeah! Yeah
Nachoro, natural (Natural)
Kitu nachoro, natural (Nachoro)
Napendezwa na una-natural (Natural)
Uzuri urembo natural (Nachoro)
Nachoro,natural (Natural)
Kitu nachoro, natural (Nachoro)
Napendezwa na una-natural (Natural)
Uzuri urembo natural (Nachoro)
Nature of love
Grateful I’m alive
Shining light
Vibration from the sky and higher above
Melanated Queen
Natural beautiful
Sun kissed skin
Gorgeous and wonderful
Melanin skin
Natural beautiful
African Queen
Never seen never seen
Wouh! Woow
Never seen never seen
Wouh! Woow
Sijaona sijaona
Nachoro,natural (Natural)
Kitu nachoro, natural (Nachoro)
Napendezwa na una-natural (Natural)
Uzuri urembo natural (Nachoro)
Ooh! Myy
Nikisema neno moja halitoshi
Yaani toka nikupate nimenyoka naenda kama gari moshi (huyuuh!)
Ukiacha mamisosi
Napenda umetulia nilikotoka nilichoka fujo kama field force
Nikitoka izo meseji za i miss you (i miss you)
Nikirudi getto kabla sijaingia i kiss you, (mmwah!)
Pesa za madafu sio issue
Nitapambana nizipate
Usiteseke Queen awe anapata kila kitu
African king you’re my African queen
Urembo sio wa sura mpaka tabia mpaka skin
Nafsi inaridhika nikikuona
Kama nisipokuona nimeumwa ila ukifika nimepona
Nuru ya nyumbani malaika
Bila wewe giza nashukuru uwepo wako unamulika
Mvumilivu hata nikipigika
Kula uwakika
Nakula baada ya kula pia uwakika.
Nachoro,natural (Natural)
Kitu nachoro, natural (Nachoro)
Napendezwa na una-natural (Natural)
Uzuri urembo natural (Nachoro)
Ecouter
A Propos de "Natural"
Plus de Lyrics de DAMIAN SOUL
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl