Paroles de Yako Wapi Mapenzi
Paroles de Yako Wapi Mapenzi Par CHRISTIAN BELLA
Ahhhhhh Gautier mascot
Bana balie ndonge ba boulé mpakasa
Apocalypse yako wapi mapenzi wouwooo
Ulianiahidi kuwa utakua wangu
Wa maisha daima badili mawazooo yako
Bella wo wo woooh acha nikupendeee
Abdul Karim Joshua Limited en direct naturel merci
Yako wapi mapenzi china wa china
Oyo olakaki ngai ndama mutotooo
Kuwa utakua wangu wa maisha daima
Badili mawazooo yako
Bella wo wo wohh acha nikupende
Oooohh
Omari Kimbau, Ali Star
Abduli Tole, Omari Tole
Ata nikilialia machungu hayaishi moyoni
Umeondoka sijui ulipo
Nimekunywa bia ili nisahau
Kumbe nimezidisha mawazooo
Kwa nini umetawala moyo wangu
Nikupende sana
Kama mutoto anavyo mupenda mama yake
Ndama mutoto wa ng'ombe
Abduli tole omari tole
Nisipo kuona wewe nakosa raha
Usingizi wa kitandani sipati tena
Ya kwenye kiti njoo ilikua na faida
Na espoir namona ata yo bébé
Ndama argan Yesu apocalypse Bella
Enriga bagaile mwana mageni
Hakuna mwengine
Wewe ulisema baba
Mapenzi yetu ni kama aaah
Suruwali na mukanda
Apocalypse bella
Namipakoli ba soucies ngai mwana bato
Kutu nakanaki te mon bébé
Gautier mascot bonjours comment tu vas
Mawa lokola mbuma oyo moto nyoso
Akanaka te kolia
Mais ekotaka na monoko ya moto ata na makasi
Ndenge osali nga different ya moto oyo
Afingi nzambe alala
Mbonze moke ba leli eh
Mmmmmmmhh Péchaud méchant imbwa
Hana mpinzani en direct
Kizaizai super tole
Ukisikia nimekufa usiweke msiba
Ila sherekea kwa sababu una roho mbaya
We mubaya ahh
Kosa gani lisilo samehewa
Jifunze kusamehe itakusaidia maishani
(Eh mama wa magari mère Saddam ya JC kashinde)
Marafiki wawili wawili
Ma wapenzi wao umeniacha mpweke
Baridi ehh baridi ehh baridi ehh
Baridi ehh baridi ehh baridi ehh
Ndama P.D.G (pedeshe)
Young millionaire muzamiri
Abdul Karim Joshua Limited
Ukisikia nimekufa usiweke msiba
Ila sherekea kwa sababu una roho mbaya
Wewe roho ngumu hmm
Kosa gani lisilo samehewa
Jifunze kusamehe itakusaidia maishani
Ohh ohh maisha Christian Bella
Marafiki wawili wawili
Na wapenzi wao umeniacha mpweke
Baridi ehh baridi ehh baridi ehh
Baridi ehh baridi ehh baridi ehh
Bella apocalypse
Wowowo ma apocalypse
Salanga nga ahh aah mon amour
Nzoto elengi sala ngo kutu na défaute
Suka ti nayoka
Patrick ehh vuyendi
Niache nililie Jean Pierre argan yesu
Aliniahidi mapenzi apocalypse Bella
Sasa miaka mitano acha rudi
Ata simu ya bure oh oh oh sijapata
Obosani ke ngai nalingaka na ngai
Te bolingo ya ba delestage
Oyo akei lelo tomona lobi tomona ye nde mabe oh
Ngai nabeleli maman oh oh oh ma oooh
Maman oh ohh wowololo yah
Ukisikia nimekufa usiweke msiba
Ila sherekea kwa sababu una roho mbaya
We mubaya ahh
Kosa gani lisilo samehewa
Jifunze kusamehe itakusaidia maishani
Oh maishani oky ya teme
Marafiki wawili wawili
Na wapenzi wao umeniacha mpweke
Baridi ehh baridi ehh baridi ehh
Baridi ehh baridi ehh baridi ehh
Bella apocalypse
AH Esthétique mubunga Cédric na belgique
Chantal sabe la taille na paris
Shika ale shika shika shika shika shika
Alain cynthé mapigo
Eh eh eh eh
Shika shika shika shika shika shika
En direct naturel
Ecouter
A Propos de "Yako Wapi Mapenzi"
Plus de Lyrics de CHRISTIAN BELLA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl