Paroles de Kemikali
Paroles de Kemikali Par CHEMICAL
Wameskia vile naingia kwa mistari naflow
Nawakanyagia dada poa mabishoo
Na sinaga show ndogo baby girl
Napigaga show kubwa indoor huh
Na vile mmetulia hapana kula nyasi
Maji huduria pembeni kwa glasi
Kula tu dunia kula tu bila wasi
Na mapenzi sitaki usinigasi
Wakaba harder, don't get high on my own suplada
Supply yaani nikimaanishaga hakuna Gucci wala Prada
Hello mama pumzika salama msalimie baba huku bado napambana
Wananimanya kinoma noma huh sinaga madrama makona kona
Na wananianya nachoma choma, yaani Esther Manyana ukiniona koma
Chemical chemical mingi kemikali
Usinipende utanikubali
I'm a chemilai chemi flows chemi mali
Original chemikali
They call me Chemical chemical mingi kemikali
Si niko flows nazo bado kali
I'm a pretty gal ona unavyonikubali hatari
Hii ngoma cheza nayo mbali
Na verse 2 sina habari nyingi
Cha msingi ni kwamba nishapita vingi
Na vigingi ni mingi mingi
Nishakuwa bila dingi na biggy biggy
Wana noma na wanasema hawfuri
Ukikutana na mimi ndio utajua ka hujui
Wen gani vita hasa na Magufuli wee
Karibu mjini unapapaswa na asubuhi
Haujaona kitu yaani ni baba byser
Kupanga kuchagua ati bwana Lizer
Life is too short usicheze na maisha
Una tight na genge bado tighter
I'm a fighter usinipe lighter
Nipe mic na beat yeah I like that
Mmmh I like that just like that
Futa vumbi kwa kiti and then me --
Chemical chemical mingi kemikali
Usinipende utanikubali
I'm a chemilai chemi flows chemi mali
Original chemikali
They call me Chemical chemical mingi kemikali
Si niko flows nazo bado kali
I'm a pretty gal ona unavyonikubali hatari
Hii ngoma cheza nayo mbali
Chemi chemi chemi, aah
Chemi chemi chemi, eeh
Chemikali, chemi mali
They call me chemical
I'm a pretty gal
Ecouter
A Propos de "Kemikali "
Plus de Lyrics de CHEMICAL
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl