Paroles de Pombe
Paroles de Pombe Par CHEGE
Pombe, tararara ayeee
Pombe pombe, tararara
Pombe zinakudanganya
Pombe ndio zinakudanganya
Ukigogo na pombe nawe(Eeeh)
Ukishalewa maninti na wewe(Eeeh)
Ukilewa unakwenda mpaka chini
Pombe ndio zinakudanganya
Unapandisha mashetani
Pombe ndio zinakudanganya
Ukilewa unakwenda mpaka chini eeh
Pombe ndio zinakudanganya
Pombe ndio zinakudanganya!
Kanywa pombe kupitiliza
Kachanganyia kaya
Kapita na moto sheri
Leo mambo sio sawa
Ati nani kamwaga pombe yangu?
Sio mimi, sio mimi
Karopoka dem wangu
Ana ukimwi, ana ukimwi
Kumbe pombe
Anainama anainuka
Nasema pombe
Anamshika, anamvuta(Kamata hiyo)
Kumbe pombe
Anainama anainuka
Nasema pombe
Anamshika bega kisha wanaondoka(Vroom vroom)
Ukigogo na pombe nawe(Eeeh)
Ukishalewa maninti na wewe(Eeeh)
Ukilewa unakwenda mpaka chini
Pombe ndio zinakudanganya
Unapandisha mashetani
Pombe ndio zinakudanganya
Ukilewa unakwenda mpaka chini eeh
Pombe ndio zinakudanganya
Pombe ndio zinakudanganya!
Pombe, pombe, pombe, pombe
Pombe ndio zinakudanganya!
Ukinywa pombe kunywa taratibu
Taratibu!
Usitake kuleta maajabu
Maajabu!
Wazalendo wa pombe wako kule
Ukiwataka wafwatile
Hata kile kidogo mgawane
Kama vita mpambane
Anataka usiku tule nyama
Na mshikaki imekataa
Kila siku usiku tule nyama
Potelea mbali
Kumbe pombe
Anainama anainuka
Nasema pombe
Anamshika, anamvuta(Kamata hiyo)
Kumbe pombe
Anainama anainuka
Nasema pombe
Pombe ndio zinakudanganya(Vroom vroom)
Pombe ndio zinakudanganya!
Pombe ndio zinakudanganya!
Pombe, pombe, pombe, pombe
Pombe ndio zinakudanganya!
Ecouter
A Propos de "Pombe"
Plus de Lyrics de CHEGE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl