Paroles de Teke
Paroles de Teke Par CARTOON47
Wagwaan Kanairo, tumemwok selesele
Kuthigitha vigenje
Kama chaji hanaku mundez
Round hii riambez kweo tunasepa nawo
Mshanauwo? Yoh Cartoon okey
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Ah cha cha cha cha, wolololo
Nina mpango nawe ngoja kwanza nilewe
Ndio mzigo upewe, niuwe mama niuwe
Niko soko kuteka mangoko
Aii washa local tukeshe kipopo
Aii ati bill nimelipa, we lewa tu, we lewa
Ah si leo umejipa, hizo vitu napewa tu, nitapewa
Kwa ploti ni noma itabidi niombe keja
Landlady amegoma, itabidi nivutie Mejja
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Yote yote wanachana mirungi
Yote yote nina rungu ya kipepe imesimama dede
Huyo dem mtulize kama ana mapepe
Uwe kibonge mwembamba nasema mi sielewi (Mi sielewi)
Mbuzi kagoma alafu mi sielewi (Mi sielewi)
We huelewi (Mi sielewi)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Uko down toka chini twende up
Tujibambe tupige masnap
Umeng'ara umeoshwa na snapchat
Kila mara credo na hauwezi chat
Ati Ex atanuna who dat?
Maybe we be friends how dat
Ukipewa utaweza
Ni swali gani unauliza?
Sijawai legeza, geza
Jua leo utawika
Ati baby niko sure
Kwanza venye unanitrust
Sasa Cd ya nini chunga bro
Aki leo si unajua kwanza venye niko thirsty
Shower ya nini? Kwisha io
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Toka kehuti, twende teke (Teke teke)
Nimerombosa bukla inadi hadi ndiste tukaachiwa
Woyoo...
Ecouter
A Propos de "Teke"
Plus de Lyrics de CARTOON47
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl