Paroles de Kuja Juu
Paroles de Kuja Juu Par BRYAN BLACK
Nimekuwa nikistudy music for a while now
Ju nimekuwa nikipenda ngoma tangu young wow
To sometime nikaamini mi ni mkali wao
Nafana anasema nacopy Nyash na Khali how?
Mi nafit in ju brand ni different
Hamnikaribishi hamtaki mi nitrend
In this case niko kazi babaa usistress
Ati hakuna kiti nitaketi kwa kisschair
Upole niko nao simention
Ni tension nimeambiwa hapo kwa reception
Ah naskia hata ka niko na potential huku
Nafaa kujikaza nikuwe na connection tupu
Mbona inashtua na ndo naanza bana
Ama kuna mtu anataka kunikarash
Ju ya iyo stori nataka namba ya Jalas
Si mnaona vile Masauti ni badass
Wild wild Willis nadai kuja 10 Over 10
Lakini nitakupataja gathee
Ghost na Gidi mtanicheza again na again
Nadai Amina aniweke trend
Nafaa kujua Mwakideu, Amina na Mwende
Nafaa kupiga kelele ndio ngoma itembee
Baha nilikuDM pia Akothee na Pozze
Ju Ringtone angedai mi siimbi gospel
Lakini mi nadai kuja juu
Mi nadai kuja juu
Acha nikuje juu
Si uwache nikuje juu tu
Lakini mi nadai kuja juu
Mi nadai kuja juu
Acha nikuje juu
Si uwache nikuje juu tu
As of nothing comes easy, nadai kupiga tizi
Nafaa kuwa busy na hii content
Ju hata haisound fiti kutoa mbili
Alafu nikuwe chizi na nipotee
So Kalonje, Mfalme na Moh
Najua hamnijui lakini for real hakuna madooh
Na pia hata hakuna video
Ah bora mnaniona, naifanya na simu kuna corona
Kolongolo mnyanye SHiti
Apost tu hivi data ata ka sifiti
Nikifanya ngoma kalikali nizipost
Nasenya ataziona azziad kwa Tiktok
Ndio nisikike ng'ambo nitajionea mambo
Lazima nijihandle kimpango aah
Nafaa kusaka support kitu kama collabo
Otile atasema time bado
Vivian atanipush ata siwezi regret
Ngoma moja tu italeta the rest
Shida ni kujiboost sijui ka nitaweza
Ebu mtu anitumie namba ya Sam West
Eriqo afanye ngoma zangu parody
Aniite mzungu mwitu ju nimesema ameongeza calories
Mukami aniambie si rahisi kumpata
Ju ako level flani na mi bado naanza
J Blessings angekuwa kuzo yangu nakwmabia
Sai ningekuwa na tuzo ya video of the year
Mavixens haingekuwa stress my dear
Sai mi ni Simple Boy nitachange my gear
Ju nadai kuja juu
Mi nadai kuja juu
Acha nikuje juu
Si uwache nikuje juu tu
Lakini mi nadai kuja juu
Mi nadai kuja juu
Acha nikuje juu
Si uwache nikuje juu tu
Mi nadai kuja juu
Mi nadai kuja juu
Acha nikuje juu
Si uwache nikuje juu tu
Lakini mi nadai kuja juu
Mi nadai kuja juu
Acha nikuje juu
Si uwache nikuje juu tu
Ecouter
A Propos de "Kuja Juu"
Plus de Lyrics de BRYAN BLACK
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl