Paroles de Nakuja Dar
Paroles de Nakuja Dar Par BRIGHT
Wamemchokoza bear
Hello brother hivi unaniskia
Mi nataka tuongee
Nisikilize kwanza, kipi yale ya familia
Nenda kando tuongee
Tunashukuru Mungu tunaamka
Maisha ni magumu kaka
Shule nimefeli nimeanguka
Na nyumba inauzwa ninapokaa
Maisha yangu doro, nakaza roho
Napiga debe ifakara tomorrow
Siku nyingine ndo madraw, sifungi goal
Najipa tumaini nitapata tommorow
Naskia una nyumba gari kaka
Mziki umekutoa
Siku hizi unatamba kila kona
Watu wote wanakujua
Mdogo wako sielewi, sielewi
Yote yameshindikana
Mbona msaada sipewi sipewi
Bora angekuwepo mama
Nakuja Dar, mi naomba unipokee kaka
Mi nakuja Dar, nitafanya kazi yoyote haya
Nakuja Dar, mi naomba unipokee kaka
Mi nakuja Dar, nitafanya kazi yoyote haya
Wanaposema mjini shule hawakukosea wahenga
Ni madarasa kusomea ndo hawakujenga
Karibu jiji mama ekee jiji funzo
Alafu stand imehama usikariri ukashuka ubungo
Ukija mjini bwana simu ni macho matatu
Na we una macho mawili so chunga usitoe la tatu
Kama hauwezi kupambana, baki tusitimbe vingi
Devo hutoziweza bata za tipsi kidimbwi
We kazana kwenda gym tu, tanua kifua
Wezako wanaenda ATM wanatoa pesa wanamchukua
Ukipata uvimbe wa mapenzi hauna dawa ya kuchua
Unaeza kutoswa na demu ambaye wenzako wanamnunua
Na hii sio pisi bwana, zingine sio pisi kali
Kuna pisi kukukiss hadi zone kuona gari
Hawana hata kukichwa ni mawigi ya jonijo
Sio flat screen wamejazia nyuma wigowigo
Nakuja Dar, mi naomba unipokee kaka
Mi nakuja Dar, nitafanya kazi yoyote haya
Nakuja Dar, mi naomba unipokee kaka
Mi nakuja Dar, nitafanya kazi yoyote haya
Naskia una nyumba gari kaka
Mziki umekutoa
Ukija mjini bwana simu ni macho matatu
Na we una macho mawili so chunga usitoe la tatu
Ecouter
A Propos de "Nakuja Dar "
Plus de Lyrics de BRIGHT
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl