Paroles de Kama si Mkono Wako
Paroles de Kama si Mkono Wako Par DR IPYANA
Mwamba, Yesu Mwamba, acha nitangaze sifa zako!
Jesus,Rock ages; Let me declare Your praises!
Kama si Mkono wako, ningekuwa wapi
If it had not been for your Mighty Hand,where would I be?
Nimesimama juu ya mwamba,juu ya mwamba
I am standing on the top of the Rock, Rock of Ages!
Umenitenga na dhoruba,umeniweka mahali pa juu
You have separated me from the storm,You have placed me at the top!
Nimesimama juu ya mwamba, palipo na nafasi
I am standing on the top of the Rock, where there is enough space.
Nimesimama juu ya mwamba,umeniweka mahali pa juu
I am standing on the top of the Rock, You have placed me at the top
Umenitenga na dhoruba,umeniweka mahali pa juu
You have separated me from the storm,You have placed me at the top
Umeniinua umeniweka mahali pa juu
You have lifted me up,You placed me at the top
Kama si msalaba,Ningekuwa wapi?
If it had not been for Your cross,where would I be?
Kama si rehema zako,ningekuwa wapi?
If it had not been for Your mercies,where would I be?
Ecouter
A Propos de "Kama si Mkono Wako"
Plus de Lyrics de DR IPYANA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl