Paroles de Nyama Par BOONDOCKS GANG

Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama kwa nyama kwenye haga ina nyama
Naeza kunail nikupini kihammer
Mmmh ikus ita nyama

Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama kwa nyama kwenye haga ina nyama
Naeza kunail nikupini kihammer
Mmmh ikus ita nyama

Cheki mbus vile nathobotha haga ishikane na ikus
Pedi wangu zenye si huchoma si mabush
Mangeus wote wamejaza mimba watapush
Ah kina jo Farida wanapena mjulus

Ken wako njiti washasip kanuthu
Nikabeng tu vifiti hadi kapige nduru
Sheng iko ligi piga soma na miguu
Kula mbuku amejazwa tu na kutu

Hakuna jaba utachana tu na njugu
Cheki anamaka anacheza tu athuku
Vile kanapenda kucheza na mbulu
Kanakula tu vifiti kwa mambuku

Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama kwa nyama kwenye haga ina nyama
Naeza kunail nikupini kihammer
Mmmh ikus ita nyama

Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama kwa nyama kwenye haga ina nyama
Naeza kunail nikupini kihammer
Mmmh ikus ita nyama

Odi wa Murang'a mi nadai tu kishot
Ikus iko hot but shida ye ni thot
Alidai raw nikaifinyia kwa throat
Na ni mwage more njoti tam kama ndom
Sina doh but mi hufika bei ya poko
Ngoma noma refu sana ka kegocho
Moshi ya shada mi huwasha na kwa orosho
Nishamada beat ya Mavo bila ngoso

Pause! Ngeus wako anadai sijui hizo ma rose
Ju nilichimba kitu ikatoa mosh
Nikazima na kanuthu na jaba ya Irosh
Dem ako jaba na anadai sijui kolo

Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama kwa nyama kwenye haga ina nyama
Naeza kunail nikupini kihammer
Mmmh ikus ita nyama

Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama kwa nyama kwenye haga ina nyama
Naeza kunail nikupini kihammer
Mmmh ikus ita nyama

Haraka haraka hainaga baraa
Ka ni vajo nianze kumdara
Ju ya kitools mi naseti mavifaa
Niko makonyagi mi nitachase na Cider
Ju ni bongolala naeza anza na simba
Ka ni umbwa koko naeza anza na siba

Mmmh gari ya moshi
Inanuka shada
Msupa nitakuriada
Ukichora saba mmmh

Maringo hapo msupa atamingle aah
Nichimbe hadi nitoe kifigo aah

Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama kwa nyama kwenye haga ina nyama
Naeza kunail nikupini kihammer
Mmmh ikus ita nyama

Nyama nyama nyama(Nyama)
Nyama kwa nyama kwenye haga ina nyama
Naeza kunail nikupini kihammer
Mmmh ikus ita nyama

Ecouter

A Propos de "Nyama"

Album : ModoMman (Album)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020 Black Market Records.
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Jan 21 , 2020

Plus de lyrics de l'album Modo Man

Plus de Lyrics de BOONDOCKS GANG

BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
BOONDOCKS GANG
420
BOONDOCKS GANG

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant

See alsoVous aimeriez sûrementEssayez l'application Mobile

A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus riche collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2020, New Africa Media Sarl