Paroles de BBI
Paroles de BBI Par BOBO NYOSTO
(Siren on the Beat)
Si watu wangu mnaremember handshake
Si kidogo ni ilete earthquake
Corruption pesa mlizila
Nyi hamna ethic zenyu ni ukabila
Sa stori BBI bora bangi ivutwe
BBI bora bangi ivutwe
Sa stori BBI bora bangi ivutwe
Na ivutwe si ivutwe
Niko kwa Owino utadhani mi ni babu
Bora bangi ivutwe mi sioni taabu
Wacha apewe kiti hio si ni taabu
Kwanza ka hujasoma shika hii kitabu
Stori BBI bora bangi ivutwe
BBI na mahustler wachujwe
Stori BBI na Raila apewe
Si apewe, si apewe
Si watu wangu mnaremember handshake
Si kidogo ni ilete earthquake
Corruption pesa mlizila
Nyi hamna ethic zenyu ni ukabila
Sa stori BBI bora bangi ivutwe
BBI bora bangi ivutwe
Sa stori BBI bora bangi ivutwe
Na ivutwe si ivutwe
Stori BBI kuwavuta kuwatesa
Kumbe kuna fisi pale nyuma nyemelea
Anapenda watu watu si anapenda kuwateka
Anapenda nduthi nduthi si anapenda kuwapima
2022 bora bangi ivutwe
Aah bora gode iwashwe
Anapenda watu ganji si anapenda watu mboka
Hustler wape wape bado kuwatoka
Watu wangu mnaremember handshake
Si kidogo ni ilete earthquake
Corruption pesa mlizila
Nyi hamna ethic zenyu ni ukabila
Sa stori BBI bora bangi ivutwe
BBI bora bangi ivutwe
Sa stori BBI bora bangi ivutwe
Na ivutwe si ivutwe
BBI, Baba Bangi Ivutwe
Mmmh magoshodo wachujwe
Mmmh this round tuwafunze
Chair lazima tuchunge
Aii nobody can stop reggea
Generation si ya burn tuko kwa genge
No goro yes ice looku fine genje
Nakunasa mi ndio baba BBI wewe
Si watu wangu mnaremember handshake
Si kidogo ni ilete earthquake
Corruption pesa mlizila
Nyi hamna ethic zenyu ni ukabila
Sa stori BBI bora bangi ivutwe
BBI bora bangi ivutwe
Sa stori BBI bora bangi ivutwe
Na ivutwe si ivutwe
Mboka miaka tisa ishakuwa heavy heavy
Juzi kashakam kashapeana mapeni
Mbogi si ya genje ishakuwa ya mahustler
Za bure tuliacha hatutumiagi dat
Alipita tu kwa box akisema ameweza
Vendetta ndio king amehema kama refa
Soko tu ni biz kuwafinya kwa macheda
Ju monkey ndio biz BBI tuwavute
Ushakemba tu mabaro gatepass kwa mjengo
Na meno kuziuma utadhani ye ndo mengo
Yaani kiti asiforce atakalishwa tu bengo
Na vile anafloss utadhani ye ni host
Ka ni shada kuzivuta kwenye kangol za wacoast
Kichuom niko front nikiwasha colombon
Nikiinua mikono zitushike tena mok
Ka ni gas basi hold nawateka kama coach
Si watu wangu mnaremember handshake
Si kidogo ni ilete earthquake
Corruption pesa mlizila
Nyi hamna ethic zenyu ni ukabila
Sa stori BBI bora bangi ivutwe
BBI bora bangi ivutwe
Sa stori BBI bora bangi ivutwe
Na ivutwe si ivutwe
Ecouter
A Propos de "BBI"
Plus de Lyrics de BOBO NYOSTO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl