BLINKY BILL Bado Mapema (Simama) cover image

Paroles de Bado Mapema (Simama)

Paroles de Bado Mapema (Simama) Par BLINKY BILL


Ayayayaya simama
Anza kucheza simama
Bado mapema simama
Wacha tusherehekee

Ayayayaya simama
Anza kucheza simama
Bado mapema simama
Wacha tusherehekee

Nipatie tukisonga
Kiwololo, kiwololo
Nipatie tukisonga
Ki ulele, ki ulele

Can I please, can I please
Get a wololo (Say wololo)
Can I please, can I please
Get a ulele (Say ulele)

Tukikam tena kam tukiteketea
Tukiteketea
Utaa -- ukijitetea
Ukijitetea

Raha kujipa mwenyewe
Wa nini waweza kuleta kasheshe
You know mimi kwa kula kahepi
Mataani wabebe wakati nyepesi

Sirushi kakiru ka regular
Lazima kitu spectacular
Vunja thermometer
Oh yeah ipepete, vibe ikuje ya kipekee

Ayayayaya simama
Anza kucheza simama
Bado mapema simama
Wacha tusherehekee

Ayayayaya simama
Anza kucheza simama
Bado mapema simama
Wacha tusherehekee

Awowowo, wo woo
Ayeyeye, yeah yeah
It's alright ayee
It's okay yoh oh

Awowowo, wo woo
Ayeyeye, yeah yeah
It's alright ayee
It's okay 

------
----

Hapa tunapendana
Hii maisha na time ni kupambana
Hii Nairobi kuna watu tunabambana
Zingine tutadeal nazo manyana

What happened, what happened?
Can't you see that we popping
Where is the champagne we popping
I don't show up for nothing

Ayayayaya simama
Anza kucheza simama
Bado mapema simama
Wacha tusherehekee

Ayayayaya simama
Anza kucheza simama
Bado mapema simama
Wacha tusherehekee

Uyeee, uyeee
Uyee, uyee 

Ecouter

A Propos de "Bado Mapema (Simama)"

Album : Bado Mapema (Simama) (Single)
Année de Sortie : 2020
Copyright : (c) 2020
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Nov 20 , 2020

Plus de Lyrics de BLINKY BILL

BLINKY BILL
BLINKY BILL

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl