Paroles de Wanawake
Paroles de Wanawake Par BEST NASO
Leo nimeamka asubuhi mapema
Niko nafua fua
Mimi ndo baba na mama
Nalea wanangu na nimeshazoea
Mara napokea simu ya mpenzi
Ni miaka sita alinikimbia
Akaulizia watoto asihofu ni azima
Kuhusu kuishi bila mama walishazoeaga
Na hata ukitaka leo
Kuwasalimia fika utawakuta(Oooh ooh ooh)
You are my beautiful(Oooh ooh ooh)
Nakukumbuka bado(Oooh ooh ooh)
Na huyu mtoto mdogo aitwa Anita
Kafanana nawe sana
Kabla simu kukata kuna neno akaongea
Likanipa utata
Akasema hello my dear(Nikamjibu ndio)
Mi nawe tuna watoto(Nikamjibu ndio)
Kati ya hao watoto(Nikamjibu ndio)
Juwa mmoja si wako
Nguvu zikaniishia
Nikashindwa kumuuliza ni yupi?
Ghafla mdomo ukawa mzito(Kimya)
Ni kawa kama meona kifo(Kimya)
Eeeh mola wangu wapi ulipo?
Ninusuru mwenye siwe
Siwezi siwezi naogopa
Ooh oooh oooh, wanawake wabaya
Wanawake wabaya
Oooh oooh, wanawake wabaya
Tena wanaua
Ooh oooh oooh, wanawake wabaya
Wanawake wabaya
Oooh oooh, wanawake wabaya
Tena wanaua
Mbona mapenzi ina unyama(Iyo iyo mama)
Mbona mapenzi ina Unyama(Iyo iyo mama)
Nikakata simu nikawaza
Nimtafute nimkate mapanga
Nikakumbuka kwenye dunia
Hiyo mitihani ya Maulana
Na ndio maana
Kuna usiku kuna mchana
Sijamaliza mara simu ikaita tena
Nikapokea akaanza kwa kucheka
Akasema acha ubishi
Acha kung’ang’ania
Na baba mwenye mtoto
Yuko njiani anaingia
Dakika kumi nyingi
Naiona gari imebeba
Watu watano
Watatu ni maaskari
Nikawekwa telo telo
Nikaambiwa nimeiba mtoto
Nimewekwa selo uuuh
Natumikia kifungo mateso
Ooh oooh oooh, wanawake wabaya
Wanawake wabaya
Oooh oooh, wanawake wabaya
Tena wanaua
Ooh oooh oooh, wanawake wabaya
Wanawake wabaya
Oooh oooh, wanawake wabaya
Tena wanaua
Mbona mapenzi ina unyama(Iyo iyo mama)
Mbona mapenzi ina Unyama(Iyo iyo mama)
Ecouter
A Propos de "Wanawake"
Plus de Lyrics de BEST NASO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl