Paroles de Sorry
Paroles de Sorry Par BAHATI
Emb records
Mama mama lalelee
DK Kwenye beat na bahati tena
Niko na mengi masikireti
Niyatoeje kwenye kibeti
Sometimes naregreti
I am so sorry
Na, niko na mengi masikireti
mengine makubwa na mebgine petty
Na mengine mmewitnesi
Am so sorry
kabla niseme sana, baba nisikize
leo niko na bratha, anaitwa DK
Baba ulie juu mbinguni,najua unatazama
Mimi ni mwanako, mpendwa katika bwana
Naishi kwa bahari, mchanga uliozama
Kwa mbali naona vumbi, iliyohama
Na njaa ilitawala na tamaa ya ganji
Nafanya mradi kwa kivuli cha uchungaji
Nazini sana na upako wa kipaji
Gunia la dhambi na namvisha Yesu taji
Niko na mengi masikireti
Niyatoeje kwenye kibeti
Sometimes naregreti
I am so sorry
Na, niko na mengi masikireti
Mengine makubwa na mebgine petty
Na mengine mmewitnesi
Am so sorry
Sorry, sorry sorry, am sorry
Sorry, sorry sorry, am sorry
Cadre de contenu incorporé
Mama aliniambia, nikafanya kupuuzia
Leo najuta, nashindwa kusimulia
Kafiri hazaliwi, anajengwa na dunia
Kuna muda mtu mzuri, hutengwa na hatia
Nilicho na kini sana, nakumbuka
Nilizaliwa nyota upako kuruka
Nikasahau safari ya macho inafilisi duka
Ata mwenye roho safi akifa ananuka
Niko na mengi masikireti
Niyatoeje kwenye kibeti
Sometimes naregreti
I am so sorry
Na, niko na mengi masikireti
mengine makubwa na mebgine petty
Na mengine mmewitnesi
Am so sorry
(Shazbaro)
Lord of Lord, you're gracious
Sorry, am sorry
Compassion, slow to anger and of greatness
Am sorry!
Ecouter
A Propos de "Sorry"
Plus de Lyrics de BAHATI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl