
Paroles de Sina jina
Paroles de Sina jina Par ASHLEY NASSARY
Ni jina la Yesu
Yapo majina yalikuwepo
Lakini jina Yesu linaishi
Sina jina lingine
Ila jina lako Yesu
Jina lenye nguvu
Ni Yesu Ni Yesu
Sina jina lingine
Ila jina lako Yesu
Jina lenye nguvu
Ni Yesu Ni Yesu (x2)
Hakuna jina lingine Kama lako Yesu
Sina jina lingine
Ila jina lako Yesu
Jina lenye nguvu
Ni Yesu Ni Yesu (x2)
Thank you Jesus
We love you Jesus
We love you Jesus
Ni Yesu ,Ni Yesu
Ni Yesu ,Ni Yesu
Ni Yesu,Ni Yesu
Ni Yesu Ni Yesu
Ni Yesu Ni Yesu
Pekee yake aneza kuokoa
Aliyekufa msalabani
Kwa ajili yangu nawe
Imetukomboa
Ni Yesu
Ecouter
A Propos de "Sina jina"
Plus de Lyrics de ASHLEY NASSARY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl