
Paroles de Ronaldo
...
Paroles de Ronaldo Par ARROW BWOY
Yeah them call me Arrow Bwoy
For real men you already know men for real
I am different mimi si kama wao
I am different game yangu si kama yao
Naisamba kama Ronaldo Ronaldo Ronaldo
Mungu na pesa collabo
Ashahdu ana ilaha ina Allah
Bad from born jeshi ya Allah
Them think me dead I come back with a new style
Nipate nikose nasema alhamdullah
Still standing tall
Juggling ball by ball
And me can’t sell my soul
Fully bad fully loaded to the core
Selctor moto usishukishe zipande
Tuko cannabis warazi what are this bane
Kaa rada hawa mafala wasikupange
Top shota top striker you can bank on me
I am different mimi si kama wao
I am different game yangu si kama yao
Naisamba kama Ronaldo Ronaldo Ronaldo
Mungu na pesa collabo
Everybody say Ronaldo Ronaldo Ronaldo
Mungu na pesa collabo
Nyinyi makunguni mtanyonya nani kaa silali
Kuna fala naingiza ukiskia nabonga kilami
Dawa iko kwa nose na kwa brain mi sicarry
Niliamua nipunguze hii pupa mi si Fally
Matawi za juu fanya kenye unaeza duu
Dem kiatu akiniongelesha namuonyesha shoe aah
Midomo za blue huku ni normal kuwa uduu
Jeshi ya Allah hatukosi ujanja mwisho wa siku
Anadai hii ndio inamnice
She a freaky scar ni Declan Rice
Arrow ni roro bwoy nairomo
Wametho Jameson the only time I do kongo
Nikiwa futi sita the only time sitafuti
Unaeza gota city ju huyu boy ni stupid
Nikurorya tu nikurorya tu
Homa zetu si same yangu ni Colombian flu
I am different mimi si kama wao
I am different game yangu si kama yao
Naisamba kama Ronaldo Ronaldo Ronaldo
Mungu na pesa collabo
Everybody say Ronaldo Ronaldo
Mungu na pesa collabo
Ecouter
A Propos de "Ronaldo"
Plus de Lyrics de ARROW BWOY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl