Paroles de Pisi
...
Paroles de Pisi Par Angella Tz
Pisi hiloo
Pisi hiloo
Angeee
Pisi hiloo
Me pisi kali sio pisi butu
Pisi mwenye uzuri sauti ka kasuku
Aah pisi flani hivi isio ringia make up
Pisi isiyodanga bure bila kitu
Me pisi mwenye hadhi sio local
Pisi nikitembea nyuma mokomoko
Pisi mwenye mapenzi sio kitooto
Pisi ninaedangia watu wenye mikooko
Ha ha ha
Asa ukisikia pisi ndo mimi
Pisi inayokibali dera mwilini
Me ndo pisi la mjiniii
Nikipita mume wako mfunge ndani
Ukisikia pis indo mimi
Pisi ninaejiamini
Usiombe nivae kimini
Ndani bikini
Uko nyuma tinginyi, wee
Nikipita kila mtaa wananiita (pisi hiloo)
Masponsa nawadatisha (pisi hiloo)
Mie nasumbua dar (pisi hiloo)
Pisi kali ninaejua kuvaa (pisi hiloo)
Nikipita kila mtaa wananiita (pisi hiloo)
Masponsa nawadatiisha (pisi hiloo)
Mie nasumbua dar (pisi hiloo)
Pisi kali ninaejua kuvaa (pisi hiloo)
Oyaaa eeeh, kwangu hakuna kukopa
Ukija cash ukigonga unaondoka
Oyaa eeeh, me wangu masponsa
Ukinipa lift miguu dashboard huku kishokaa
Eeh usishangae mwenzio nikihongwa ndinga
Nachanganya mambo ya bara mandingo ya pemba
Me toto flani toto la kitanga
Toto lenye timbwili kitandani vanga
Ha ha ha
Asa ukisikia pisi ndo mimi
Pisi inayokibali dera mwilini
Me ndo pisi la mjiniii
Nikipita mume wako mfunge ndani
Ukisikia pis indo mimi
Pisi ninaejiamini
Usiombe nivae kimini
Ndani bikini
Uko nyuma tinginyi, wee
Nikipita kila mtaa wananiita (pisi hiloo)
Masponsa nawadatisha (pisi hiloo)
Mie nasumbua dar (pisi hiloo)
Pisi kali ninaejua kuvaa (pisi hiloo)
Mzee jongo kanipa simu tulivyoachana kanipokonya
Mzee jongo kanipa simu tulivyoachana kanipokonya
Mzee jongo kanipa simu tulivyoachana kanipokonya
Mzee jongo huyoooo
Ecouter
A Propos de "Pisi"
Plus de Lyrics de Angella Tz
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl