Paroles de Sherehe
Paroles de Sherehe Par AMOS AND JOSH
Njoo nami, twende mbali babe
Maisha ya ndege angani tupae
Nchi za mbali mbali, juu tembea
Nikuonyeshe maisha ya ustar
Vile unang'aa dance nami
Oh moto moto baby
Wanifurahisha roho
Wanizingua baby
Dance nami
Moto moto baby
Wanifurahisha roho
Wanizingua mami
Sherehe! Tutapiga sherehe
Tutapiga sherehe
Sherehe! Tutapiga sherehe
Tutapiga sherehe
Am up, up and awake
Leo ni huku na kesho tuko kule
Utamu wa maisha leo hiii
Am up, up and awake
Kahawa tungu na pemba tupajue
Ni kufuna kwa meza manoti
Nikutunuku BMW
Just to tell you I love you too
Spoil you a little
No no nikuzidishie urefu wa tabasamu
Namaliza haijafahamu, na bado halafu
Sherehe! Tutapiga sherehe
Tutapiga sherehe
Sherehe! Tutapiga sherehe
Tutapiga sherehe
Chini kwa chini ooh mama
Tutapiga sherehe, sherehe
Tutapiga sherehe
Sherehekea mami
Breakfast tu ufuoni
Lunch baharini
Dinner angani
Popote duniani
Maisha nawiri
Breakfast tu ufuoni
Lunch baharini
Dinner angani
Popote duniani
Maisha nawiri
Sherehe! Tutapiga sherehe
Tutapiga sherehe
Sherehe! Tutapiga sherehe
Tutapiga sherehe
Ecouter
A Propos de "Sherehe "
Plus de Lyrics de AMOS AND JOSH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl