
Paroles de Katika
Paroles de Katika Par ADASA
Vipi unapenda navyocheza
Mi nakatika sababu yako
Niko ready nipigane niwe wako
Aah unanimaliza
Sisemi mingi nitoe mawazo
Utani kwenye dancefloor
Niko ready nishinde niwe wako
Aah unanimaliza
Cheki wanapungika na maphoto
Wanapingishwa na watoto
Kumejazana si mchezo
Tunaimba mpaka kesho, yaani kesho
Cheki wanapungika na maphoto
Wanapingishwa na watoto
Kumejazana si mchezo
Tunaimba mpaka kesho, yaani kesho
Katika eeh, katika eeh
Katika mama katika mama, katika eeh
Katika eeh, katika eeh
Katika mama katika mama, katika eeh
Tunakula debe mdogo mdogo
Jabe ziko mbele ni mua ndogo
Team wazele cha baba eeh
Cha mama eeh, cha hawa
Nikikupata utalegea
Oooh mapenzi inaongea
Ikikuwasha utaongea
Ombe mwakazi naongea
Cheki wanapungika na maphoto
Wanapingishwa na watoto
Kumejazana si mchezo
Tunaimba mpaka kesho, yaani kesho
Cheki wanapungika na maphoto
Wanapingishwa na watoto
Kumejazana si mchezo
Tunaimba mpaka kesho, yaani kesho
Katika eeh, katika eeh
Katika mama katika mama, katika eeh
Katika eeh, katika eeh
Katika mama katika mama, katika eeh
Wanapungika na maphoto
Wanapingishwa na watoto
Kumejazana si mchezo
Naimba mpaka kesho, yaani kesho
Cheki wanapungika na maphoto
Wanapingishwa na watoto
Kumejazana si mchezo
Naimba mpaka kesho, yaani kesho
Katika eeh, katika eeh
Katika mama katika mama, katika eeh
Katika eeh, katika eeh
Katika mama katika mama, katika eeh
Ecouter
A Propos de "Katika "
Plus de Lyrics de ADASA
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl