Unyama Lyrics
Unyama Lyrics by FEZA
Imekuwa kama movie
Me na we hadi tumekuwa pamoja eeh
Bila kushiza miruzi
Ya majirani na mashoga zangu
Nilipata vi some news
Kuhusu wewe vikanitia uwoga eeh
Habari za kutisha tisha
Ningeziendekeza ningechachisha mboga
Ningejaji kitabu bila kusoma ndani
Pengine hayaa yote nisengeyaona
Tangu dereva nkukabidha usukani
Unavyoyoendesha sijapata ona
Eeh yale machungu nliyopitia
Umenifanya nipoteze kumbukumbu
Na sina tena idea
Nimesahau nilipotoka eeh
Eeh asa ukitaka kunichuna
Njoo nikupe kisu na mapanga eeh
Ama ukitaka kuniroga
Sema nikupe namba za waganga
Baby baby
Unanifanyia maunyama
Baby baby
Ndio maana kwako nimekwama
Baby baby
Unanifanyia maunyama
Baby baby
Ndio maana kwako nimekwama
Kuna wazushi walinambia unangoma
Nikawaambia ntaishiza kila kona
Nachokupenda kwenye penzi hauna formula
Unakichafua adikipofu anaona noma
Somebody told me umeni verify
Kwanza uko low key
Nakuzimia my gee
Navyokwambia sijuti toka tujuane
Napenda penzi na sio money
Ndo maana ukija home usiku wa manane
Nachukua tango tukatiane
Eeh asa ukitaka kunichuna
Njoo nikupe kisu na mapanga eeh
Ama ukitaka kuniroga
Sema nikupe namba za waganga
Baby baby
Unanifanyia maunyama
Baby baby
Ndio maana kwako nimekwama
Baby baby
Unanifanyia maunyama
Baby baby
Ndio maana kwako nimekwama
Watch Video
About Unyama
More FEZA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl