Yanini Lyrics
Yanini Lyrics by ECHO
Kila siku nikusamehe
Unaniumiza ila ni sawa
Hadi mimi nina moyo
Unachanja na hupaki dawa mmmh
Uwaga unasema nisifate habari zao
Uwaga unasema wazushi wa mitandao
Kumbe mengine ya kweli wayasemayo
Unaniumiza wewe
You call me your lover, kumbe hovyo
Na ukitoka unanisave battery low
You call me your lover, kumbe hovyo
Na ukitoka unanisave battery low
Ulimwaga mboga Ila ugali naenda nao
Nilikupa moyo ila roho niache naayo oo mm
Hivi ya nini, ya nini, yanini mbona tutesane roho
Hivi ya nini, ya nini, yanini yanini unifanye kiporo
Hivi ya nini, ya nini, ama tu niwe mtoro
Mbona uniweke roho juu wakati nikipozaliwa sikuzaliwa na wewe
Alipoumbwa kila mmoja na ubavu wake bora angewekwa alama
Mapenzi safari ya wote ila cha ajabu kila mmoja ana stage yake
Huenda kwako sio chochote ila naamini yupo wangu ananingojea
You call me your lover, kumbe hovyo
Na ukitoka unanisave battery low
Your lover, kumbe hovyo
Na ukitoka unanisave battery low
Ulimwaga mboga Ila ugali naenda nao
Nilikupa moyo ila roho niache naayo oo mm
Hivi ya nini, ya nini, yanini mbona tutesane roho
Hivi ya nini, ya nini, yanini yanini unifanye kiporo
Hivi ya nini, ya nini, ama tu niwe mtoro
Watch Video
About Yanini
More ECHO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl