Hao Parody Lyrics by DOGO CHARLIE

Avo, avocado
Avo, avocado

Avocado nyamaza 
Wewe haujui shida zangu
Acha nilie, lakini ninapambana
Inabidi madawa matembe tu nimeze

Nilijifanya nitakukula (Avo)
Ona sa sikuwezana (Avocado)
Nilijifanya nitakukula (Avo)
Ila ikaniumiza (Avocado)

Nimekuwa celebrity sababu uliniimbia
Unatangazia watu eti nimekukosea (Get outa here)
Ka mi ni msofi mbona haukuwezana
Kama we ni mjanja mbona boil imekutokea? (Kanyagia)

Ulinitusi uhit but unachekwa (Shinda huko)
Wakatupost kwa whatsapp na FB (Kwa hivyo?)
Udaku eti unachana veve
Umefura kwa mashavu ni ka umepigwa mateke (Inakuhusu?)

Kukula parachichi gharama (Aii)
Ju ukisha shiba ni lawama (Kweli)
Dogo Charlie ukianza nilikuwa wa maana
Saa hii nimegeukiwa naitwa kitu ya laana 
Na si ni ukweli

Sinanga ubaya unikulange tu (Ah zii)
Coz I woun't kill you nitakujenga tu (Mi staki)
Si bado uko na mafans wanakupenda tu
Besides usijali hivo ndo huwanga bro (Nakuona sana)

Si nyi hukula Avocado kila siku
Za Kericho mnazichukua na za Kisii mnazisifu (Kwenda huko)
Inauma kupambana na hizi issues
But ma-ove msijali tuzoee hizi vitu

Avocado nyamaza 
Wewe haujui shida zangu
Acha nilie, lakini ninapambana
Inabidi madawa matembe tu nimeze

Nilijifanya nitakukula (Avo)
Ona sa sikuwezana (Avocado)
Nilijifanya nitakukula (Avo)
Ila ikaniumiza (Avocado)

Music Video
About this Song
Album : Hao Parody ,
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Layon Media.
Added By: Huntyr Kelx
Published: Apr 25 , 2020
More Lyrics By DOGO CHARLIE
Comments ( 0 )
No Comment yet