Sawa Tu Lyrics by DJ PRO


Navimba vimba vimba
Sawa tu
Natamba tamba tamba
Black mama
Sawa tu
Navimba vimba vimba
Sawa tu
Natamba tamba tamba

Kisa nilikuacha ndo unanitangaza nina kibamia
Sawa tu
Nijuzi juzi we ulisema nimefumaniwa
Sawa tu
Mara unanitusi ukidai eti minichawa
Sawa tu
Mvuta bangi siko sawa nimepagawa

Unanisema vibaya, eti misina haya
Hali yangu nimbaya, unanita malaya
Unanisema vibaya, eti misina haya
Hali yangu nimbaya yuuuh eeh
Eti mindo bingwa wa kiki
Sawa tu
Sishikiki, sawa
Sina mashabiki
Sawa tu
Mnafiki sawa
Eti mindo bingwa wa kiki
Sawa tu
Sishikiki, sawa
Sina mashabiki
Sawa tu
Mnafiki sawa

Navimba vimba vimba
Sawa tu
Natamba tamba tamba
Sawa tu
Navimba vimba vimba
Sawa tu
Natamba tamba tamba
Sawa tu

Watoto wanita alamba, nalamba lamba
Nawapa pipi walamba, alamba lamba
Wanaona haya wanayumba, yumba yumba
Wakiniona wanachimba, chimba chimba

Unanisema vibaya, eti misina haya
Hali yangu nimbaya, unanita malaya
Unanisema vibaya, eti misina haya
Hali yangu nimbaya yuuuh eeh
Eti mindo bingwa wa kiki
Sawa tu
Sishikiki, sawa
Sina mashabiki
Sawa tu
Mnafiki sawa
Eti mindo bingwa wa kiki
Sawa tu
Sishikiki, sawa
Sina mashabiki
Sawa tu
Mnafiki sawa

Navimba vimba vimba
Sawa tu
Natamba tamba tamba
Sawa tu
Navimba vimba vimba
Sawa tu
Natamba tamba tamba
Sawa tu
Navimba vimba vimba
Natamba tamba tamba
Navimba vimba vimba
Natamba tamba tamba

Watch Video

About Sawa Tu

Album : Sawa Tu (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Jun 30 , 2021

More DJ PRO Lyrics

DJ PRO
DJ PRO

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl