Hatutaachana Lyrics
Hatutaachana Lyrics by DIANA BAHATI
Mapenzi tight ka kifuniko ya gas
My future bright si ni zaidi ya stars
Wanaosema tutaachana, sidanganyi watangoja sana
Yetu si ya Konde Boy na Kajala
Mapenzi za kujienjoy ya kifala
Ama kama Lilian na Governor
Vita za Chris Brown na Rihanna
Ni Bahati na Marua, Tamu kama halua
Kitu Mungu amepanga nani atapangua
Kwote tunasumbua, wote wanatujua
Tumepata kitu hata pesa haiwezi nunua
Mtaachana tu, achana tu
Mtaachana tu, achana tu
Tunakazana tu, kazana tu
Tunakazana tu, kazana tu
Wenye roho chafu ni time wazioshe
Hatuwachani kama Jay na Beyonce
Hii ni key na deeper than the ocean
Hakuna kupima twapeana yote yote
Hii si sinema ni pingu za maisha
Sisi together ni mbingu ilipitisha
Wanawaza kutuput asanda
Watawaza akili zitaganda
Ni Bahati na Marua, Tamu kama halua
Kitu Mungu amepanga nani atapangua
Kwote tunasumbua, wote wanatujua
Tumepata kitu hata pesa haiwezi nunua
Mtaachana tu, achana tu
Mtaachana tu, achana tu
Tunakazana tu, kazana tu
Tunakazana tu, kazana tu
Ni Bahati na Marua, Tamu kama halua
Kitu Mungu amepanga nani atapangua
Kwote tunasumbua, wote wanatujua
Tumepata kitu hata pesa huwezi nunua
Watch Video
About Hatutaachana
More DIANA BAHATI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl