DATTY TZ Amenikamata cover image

Amenikamata Lyrics

Amenikamata Lyrics by DATTY TZ


Nilikuwa tungi kwa party imenoga
Mara akaja shosti kwa sikio akanong'ona
Eti kuna boy kaniona
Anataka kaa nami meza moja
Nami sikusita ni kaenda
Mara akanivuta kashangaa
Nanyanyua kichwa madenda
Mara kwa kifua kanilazaa
Chiiiihh

Amenikaa amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikakaka amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikakaka amenikamataa

Na alivyo mpole mzuri
Anakabody kifua ngangarii
Akipiga gym na point misuli
Mpaka matani nakuwa kiburi
Yaani magoli akipiga anapata
Namimi sitoki nashangaa mpaka
Mahaba ng'aring'ari mikwake nadeka
Kuoga sitembei mpaka kwa bafu nabebwa

Amenikaa amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikakaka amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikakaka amenikamataa

Nikiwa mbali nae namiss aah
Michezo fulani ya durisi ahh
Najuwa tatu wengi wanadiss now
Mbona datty bize hivi vipii
Ukweli nimepagawa tena nimedata
Maana nisipo muona nahisi utata
Mashoga sijakata story sijakataza
Ila vikizidi nitashika hata pangaa

Amenikaa amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikakaka amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikaa amenikamataa
Amenikakaka amenikamataa
Polepole maa polepolee naa
Polepole maa polepolee naa
Polepole na baby wangu
Baby wanguu

Watch Video

About Amenikamata

Album : Amenikamata (Single)
Release Year : 2022
Added By : Fadhili Bakari
Published : Mar 30 , 2022

More DATTY TZ Lyrics

DATTY TZ
DATTY TZ
DATTY TZ

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl