Amini Lyrics

D NJIWA Tanzanie | Bongo Flava,

Amini Lyrics


Kuna vitu vya utani
Nilihisi kuogopa
Kukukosa maishani
Nilihisi kuogopa

Kuna vitu vya utani
Ila bado sikuchoka
Ati unakwenda unarudi
Unidanganye ati unaenda sokoni

Kumbe unafanya kusudi
Umepita na mwaka sikuoni
Leo bora umerudi
Unanifanya natabasamu usoni

Umerudi beiby nimepagawa
Ndo mwisho wa kuondoka
Ninogeshe beiby twende sawa
Mi sitochoka

Amini, we ndo sababu ya mi kuumia
Amini, mi nateseka unanionea 
Amini, we ndo sababu ya mi kuumia
Amini, mi nateseka unanionea 

Nilikukumbuka saa
Jitahidi ongezea ata zaidi ingawa
Sijashiba umeshanawa
Njoo uniongeze inikolee dawa

Nikiwa na wewe 
Nipakulie mwisho nitapikie dawa
Usiwe na wengi
Nikupikie mpaka utulie sawa

Umerudi beiby nimepagawa
Ndo mwisho wa kuondoka
Ninogeshe beiby twende sawa
Mi sitochoka

Amini, we ndo sababu ya mi kuumia
Amini, mi nateseka unanionea 
Amini, we ndo sababu ya mi kuumia
Amini, mi nateseka unanionea 

Leave a Comment