Hiphop Lyrics by COUNTRY WIZZY


Am like Tiktok 
This is how we rock okay
Everybody put your hands in the air
Maana hiphop iko on top okay
Alafu Country Wizzy ndo anarock now

Mara ninavyotimba nigga there they go
Kila vita nashinda mmmh they already know
Sawa wanachana pale they heavy yoh
Maana vitu tunavyovuta hujui ni heavy yoh

Yeah it's heavy yoh na heavy dope
I swear me na ride na my heavy goat
Na usiombee kuona gun
Alafu tumejicock like ---

Kuhusu mama zako nawang'ata like huh
Usiombe wakilia sauti zao ndo aha
Na ukija kimichano nawakanya like wah
Naifanya for hip hop

Hee, hoo, hee, hoo
Hee, hoo, hee, hoo (Hip hop)
Hee, hoo, hee, hoo
Hee, hoo, hee, hoo (Hip hop)

Na siku hizi dili zangu mi ni dollar dollar
Na usikwaze ukinikuta kwenye dollar dollar
Usiulize dada zako navyo wala wala
Na wanavyonipenda bila shaka walogwala gwala

NIkikuchosha nachofanya nigga do you
Ukiona hauna mada kula buyu
Kitu nachowaza kwenda juu juu
Yeah juu juu, yeah juu juu

Wanabaki wanajiuliza hii ni miujiza
Nawaambia yes am back kama Jesus
Na sichoki kuwaangamiza kuwaandamiza 
Hii ni Bongo kama Ulaya bila visa

Okay ukiona jicho nyanya, ujue bunduki iko around
Okay ukiona nimepoa, kidonda b wako around
Na ukiona pesa mingi, jua hata niko around
Ooops now that

Hee, hoo, hee, hoo
Hee, hoo, hee, hoo (Hip hop)
Hee, hoo, hee, hoo
Hee, hoo, hee, hoo (Hip hop)

 

Watch Video

About Hiphop

Album : Hiphop (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Konde Music Worldwide
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 04 , 2021

More COUNTRY WIZZY Lyrics

COUNTRY WIZZY
COUNTRY WIZZY
Far
COUNTRY WIZZY
COUNTRY WIZZY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl