Next Lyrics
Next Lyrics by CHRIS KAIGA
Kaa rada mtu asipite na wako
Kuna kadem nilikapataga ka saba
Sijawai muona bila weave yawa(Next)
Huyu mwingine hunitext bed hour
Na si kwa ubaya but the boy asha-tire(Next)
Pata dem ako flat vi excess
Muko same mkivalia mavest(Next)
Niko oh nasingedai hizo mseti
To the left, to the left that's West(Next)
Si vibaya matym kuwa unalewa
But kumbuka pia bado hujaolewa(Next)
Hatukatai sura ulipewa but
Pande ya tabia -- hewa(Next)
Ni nani yule kando ya meza?
Oooh natural ameguzia tu makeup
Aki ya nani si anatesa
Pigia mzazi umwambie nimependa
Lakini analenga nimetry kumhalla
But bado analenga
Na vile amweweza,
Anyway on to the next one
Next nimesema next
Who is next? Who is next?
Next next, who is next?
Next? nimesema next
Akinicheki anapiga mahesabu
Ni kama yeye ni mwalimu wa thafu(Next)
Anaringia ugali na managu
Na home anakulanga sembe kavu(Next)
Alinishow I don't do matatu's
Si kidogo amalize sole za viatu(Next)
Jana nimemtumia fare ka mara tatu
Na bado hata hajafika kwangu(Next)
Kwa Instagram ameweza but in person
Vitu huwa different kwa grao(Next)
Bila make-up anakaa ka bratha yangu
Asipopaka nitaambia nini watu?(Next)
Ni nani yule kando ya meza?
Oooh natural ameguzia tu makeup
Aki ya nani si anatesa
Pigia mzazi umwambie nimependa
Lakini analenga nimetry kumhalla
But bado analenga
Na vile amweweza,
Anyway on to the next one
Next nimesema next
Who is next? Who is next?
Next next, who is next?
Next? nimesema next
Watch Video
About Next
More CHRIS KAIGA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl