CHRIS KAIGA  Kwa Ceiling cover image

Kwa Ceiling Lyrics

Kwa Ceiling Lyrics by CHRIS KAIGA

Napitia na dinga ina speaker zingatingisha madirisha
Kuliko pretty girl anadigi akitingisha
Mwili kameshikwa na mathithi akiniambia
Nammalizanga kama dishi ya familia

Huwezi wai raia mwingine ka mi
Mi ni ka ninja nawapiga na mahit
Toka LA hadi mtaa za mabeast
Imekuwa ni ngori aje nimeitiwa cheese

Hakuna bash ishainibamba ka hii
Ilianza jana na ikiisha sa hii
Ni juu mabanga walikamingi 
Na bado bash ingeshika Kamiti

Kwa hivyo jaza tumbler na kidri
Ita mama pima akam hivi
Na Tusker malt na ma pilsner ka mbili
Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling

Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling
Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling
Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling
Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling

Si maparty adi, hadi haijalishangi
Ka tumedunga njumu kali ama patipati
Niite bash mami tuko ndani ndani
Bora ina waresh na drinks tuko inadi inadi

Kuna vile umefurahisha majirani
Unawhine ni ka umeitisha 4 cousins
Umerise-isha temperature Covid 19
Ukitingisha mawezere ndani ya ma tight jeans

Sibaguagi napenda malight na madarkskin
Mami whine your body ni ka hucheza kati
Punguza calories ukiwhine on me 
Kutoka saa moja giz hadi ma morning

Hakuna bash ishainibamba ka hii
Ilianza jana na ikiisha sa hii
Ni juu mabanga walikamingi 
Na bado bash ingeshika Kamiti

Kwa hivyo jaza tumbler na kidri
Ita mama pima akam hivi
Na Tusker malt na ma pilsner ka mbili
Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling

Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling
Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling
Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling
Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling

Hii inaweza shika kutoka Nai hadi Congo
Adisia kwitikwiti ina kong'o
Leo kidri iko mingi brathe toa lock
Waiter leta mbilimbili na madub allshot

Mi naskia firifiri kama change ya soo
Songesha hizo vitiviti sunda dancefloor
Mami twende chini chini mwaga jasho
Ni ka umekula firifiri na unawashwooo

Ebu washow 
Vile mwili hukunjwa kunjwa kama python
Vile mwili hukunjwa kunjwa kama nylon
Mi nadigidigi style na vibe yakoo..
Leo sidance kwa floor nadance kwa ceiling

Watch Video

About Kwa Ceiling

Album : Kwa Ceiling (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 08 , 2021

More CHRIS KAIGA Lyrics

CHRIS KAIGA
CHRIS KAIGA
CHRIS KAIGA
CHRIS KAIGA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl