Kibabe Lyrics
Kibabe Lyrics by CHINO KIDD
Zombie sikutaji humu eeh
Kibade kibade
Kibade basi force kibade
Kibade kibade
Kibade basi force kibade
Kibade kibade
Kibade basi force kibade
Kibade kibade
Kibade basi force kibade
Ishuu
Chino wanaman, Chino wanaman, Chino wanaman
Hello yeweiih
Ishuu
Ngosha wanaman
Hello
Juzi nilikuona town
Umependeza umetupia vitu vya brow
Sijui ni loui ile au Gucci
Aisee ile buti na grown imefanya mkushi nivae suti
Usinishushe nikiwa around
Na nikikupa sound usinutusi
Kwako mie I’m lost and found sio uzushi usinipushi
Niongeze maujuzi maufundi
Nikugande unione nuksi, unione mpuuzi niwe down
Na ninakustalk hadi tiktok
Unaweza trendisha ngoma ikawa hit song
Unanivutia kama ringtone
Kwa uzuri unawapiga bao kama ping pong
Na kwa uzuri upo peke yako
Unafanya nizidishe ku hustle
Silali ninalala macho
Ninakuita mali kubali hakuna zaidi yako
Mariarosa, usije nitosa
We nibariki nikupeleke kwa mwamposa
Mariarosa, usije nitosa
We nibariki nikupeleke kwa mwamposa
Ishuuu
Achia shishaaa
Aichukuchaa
Si mmemuona? Mmemuona
Kama kashushwa
Achia shishaaa
Aichukuchaa
Si mmemuona? Mmemuona
Eti kasusa
Kibade kibade
Kibade basi force kibade
Kibade kibade
Kibade basi force kibade
Kibade kibade
Kibade basi force kibade
Kibade kibade
Kibade basi force kibade
Ishuu
Na ninakutalk hadi tiktok
Unaweza trendisha ngoma ikawa hit song
Unanivutia kama ringtone
Kwa uzuri unawapiga bao kama ping pong
Na kwa uzuri upo peke yako
Unafanya nizidishe ku hustle
Silali ninalala macho
Ninakuita mali kubali hakuna zaidi yako
Ngosha wanaman
Mariarosa, usije nitosa
We nibariki nikupeleke kwa mwamposa
Mariarosa, usije nitosa
We nibariki nikupeleke kwa mwamposa
Ishuuu
Achia shishaaa
Aichukuchaa
Si mmemuona? Mmemuona
Kama kashushwa
Achia shishaaa
Aichukuchaa
Si mmemuona? Mmemuona
Eti kasusa
Kibade kibade
Kibade basi force kibade
Kibade kibade
Kibade basi force kibade
Kibade kibade
Kibade basi force kibade
Watch Video
About Kibabe
More CHINO KIDD Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl