
Njoo Lyrics
Njoo Lyrics by C MCHEZO
Nikupeleke kwetu Tanga
Mapenzi yalipo anza
Wacha waseme mchana usiku watalala
Ukifika kwetu Tanga
Iwe jioni ama mchana
Nitakupeleka kwetu kule kwa mama
Nakuhitaji wangu mama
Wala usione hasara
Chochote changu nitakupa no lawama
Kupenda sio masihara
Usiku sio mchana
Nitamuomba Mungu ufike salama
Nikikuita mpenzi wangu njoo
Usiende mbali nami
Nikikuita mpenzi wangu njoo
Usiende mbali nami
Tarantarara, we ndo my love
Tarantarara, kwako sibweki mi mbwa koko
Tarantarara, tena mwenzio
Tarantarara, yaani sihemi kwa penzi lako
Tarantarara, nakuita mami love
Tarantarara, furaha yangu tabasamu lako
Tarantarara, tena mwenzio
Tarantarara, nishaoza nimekufa kwako
Ukaone ndugu zangu, Zahale Tanga
Babu bibi yangu wakupe mashamba
Twende usambaani ambao ni Tanga
Na kule milimani kote tutatamba
Moyo wangu ushagota kwako
Nitatulia sitotaka mcheche
Upendo wangu ni zaidi ya pepo
Hata nikifulia beiby naomba niwe wako
Nikikuita mpenzi wangu njoo
Usiende mbali nami
Nikikuita mpenzi wangu njoo
Usiende mbali nami
Tarantarara, we ndo my love
Tarantarara, kwako sibweki mi mbwa koko
Tarantarara, tena mwenzio
Tarantarara, yaani sihemi kwa penzi lako
Tarantarara, nakuita mami love
Tarantarara, furaha yangu tabasamu lako
Tarantarara, tena mwenzio
Tarantarara, nishaoza nimekufa kwako
Paukwa pakawa
Kwa penzi lako mi napagawa
Paukwa pakawa
Kwa penzi lako mi napagawa
Watch Video
About Njoo
More C MCHEZO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl