Pree Lyrics
Pree Lyrics by BURUKLYN BOYZ
Yo! Yo! Yo!
Tano Nane Skia kwani ni kesho
Yo!
Juu me ni star ka JB ananipa head no brainer
Chali yake anampa stress anateta ni mbleina
Bad B kila saa ananicheki anapree anapree anago on her knees
Anadai kuhang na team anadai kuhang juu gang ina win

Bad B lakini anatekwa na Chrome
Hawa mahoes kwa DM wame chrome
Ask my ex am toxic huwezi niacha juu ya hii bone

24/7 studio narap Bitchez keep blowing my DM (ahh) from AM to PM
Sometimes(?)
Wananipenda juu ya fame najua hadi (?)
Naenda super breezy mode nime(?) kama Booker T
Juu me ni star ka JB ananipa head no brainer
Chali yake anampa stress anateta ni mbleina
Bad B kila saa ananicheki anapree anapree anago on her knees
Anadai kuhang na team anadai kuhang juu gang ina win
Juu me ni star ka JB ananipa head no brainer
Chali yake anampa stress anateta ni mbleina
Bad B kila saa ananicheki anapree anapree anago on her knees
Anadai kuhang na team anadai kuhang juu gang ina win
Ajay unaclaim uyu mpoa anapree anapree anapree anago on her knees
Anapenda kupelekwa out as in anapenda matreats
Ukimuuliza anapenda macakes
Ukimuuliza anapenda macreams
And she always on the crib fine B anapenda kupiga mapics
Opp boy amecatch mafeelings mpoa wake anaroll na team (gang)
Amechoka kubuyiwa mapizza an'taka nimuonyeshe hii life ya East (58)
Anasema my friends indeed sometimes anadai kunikiss

Everyday tunakuaga maMED strictly izi tracks ni ma overdose
Wanauliza wanaask ni nini ni wapoa tumeoverload
Nimeball nimeball drip zangu it's solo me s'tawai kopa doo (zii zii)
B Boy sisi ni maDon Don junior ni ki El Chapo(Po Po Po)
Like it or not ngoma zetu ziko on repeat
Tunachafua izi mashow top boy tunawacha waki sweep (sweep sweep)
Si tuko fresh fresh fresh kama dairy milk (fresh fresh)
Ni aluta kibiriti ni masteam na ma(?) tings
Juu me ni star ka JB ananipa head no brainer
Chali yake anampa stress anateta ni mbleina
Bad B kila saa ananicheki anapree anapree anago on her knees
Anadai kuhang na team anadai kuhang juu gang ina win
Juu me ni star ka JB ananipa head no brainer
Chali yake anampa stress anateta ni mbleina
Bad B kila saa ananicheki anapree anapree anago on her knees
Anadai kuhang na team anadai kuhang juu gang ina win
Watch Video
About Pree
More BURUKLYN BOYZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl