Kitu Nono Remix Lyrics by BREEDER LW


Kitu ni nono
Denge nimsimame kama konokono
Ni kwa mkono
Mdomo ya denge manze si ni lolo

Kitu ni nono
Denge nimsimame kama konokono
Ni kwa mkono
Mdomo ya denge manze si ni lolo

[Chorus]
Hii kitu ni nono
Denge nimsimame kama konokono
Spliff ni kwa mkono
Mdomo ya denge manze si ni lolo

Hii kitu ni nono
Denge nimsimame kama konokono
Spliff ni kwa mkono
Mdomo ya denge manze si ni lolo

[Breeder LW]
Bazuu bazuu bazuu 
Ka niko ndani ngoma ni noma na inagonga kama radi
Bazuu bazuu bazuu 
Mahali imefika mi nashangaa nashindana na kina nani?
Ni hao, ni why, ni who?
Maswali mingi ni za kitoto we panguza makamasi
Bouty, Denzel, Master
Ssaru na Maandy ongeza buda combination ni hatari aah

Ah, kitu ka ni nono ina Tetenas
Nishai mwaga voodoo kwa Calabash
Nina kitambaa ya kupanguza dust
Incase nikistep nikanyagwe Clarks
Sivuti nganya na silambi nyap
Hujai level up mi napanda ranks
Tukifunzwa ujana we ulihata class
Jina ni Bigii mi hulipa tax

Roho chafu we ioshe na Harpic
Uto mabang'a ishageuka habit
Nina heshima huwezi nunua Tuskys
Album next ah classic
Flow ni mingi kama ndae DT DObie
Kitu nono ye huipendaga doggy
Bazenga daddy nilifika kwa show biz
Wasaniii wote sa wananicopy

[Maandy]
Kabaya nishafika kwenye scene
Haya katambe ka una beef
Waya chini ya maji sub-marine
Rada spit game Tychii
Messiah naokoa kina nyi
Gwaya wananiogopa ni malaya
Kuclaim kila team na bado ni bottom RIP

Kitu nono inamaliza tena ina tisha futi ni tisa
Niko jikoni napika nikimaliza turudi misa
Ng'ang'a nini hata chini piga ka ni vita
Siamini kichwa chini nahesabu raundi ya sita

Sitachoka kuwatisha
Sita-sitawacha wakilisha
Sita-sitawacha kuwa teacher
Clean bitch piga picha, follow the leader

Infact niite picha mr, 
Usitry bahatisha
Miaka nne nawaosha mmh, aibu
Fyeka beat Maandy tosha

[Chorus]
Hii kitu ni nono
Denge nimsimame kama konokono
Spliff ni kwa mkono
Mdomo ya denge manze si ni lolo

Hii kitu ni nono
Denge nimsimame kama konokono
Spliff ni kwa mkono
Mdomo ya denge manze si ni lolo

[Boutross]
Nduru apige, vile makende ya Bouti ni nono
Ndugu mpende, mpaka ajaribu kukutupia mkono
Niko Rongai juu ya mangwai na mistari za stori za ngono
Nilitolewa uvajo na matha enzi -- moto
Bonga nikuonyeshe mbona mi husemanga number ni wrong
Vile -- aligenya vile alikam --
Suspect stand the pressure mbona unatap the phone
Mlami ashajileta shore anadai kujipatia ball

Nikitoka kwa tumbo ya matha, mi nilikuwaga mandom
Nilichotaga supu na Sandra then wakachota ki-Corazon
Mi ni chemist condoms Bouty ashajua ashatolewa phone
Vile nilipigwa mtaani Bouty nilibaki nikiimba home

[Denzel Kong]
Ju kitu ni nono, imebidi tukuje na remix for the people
Nikam niwa ajax, vile nasukwa na denge amebeba zigo
Kuwakunywa kama Bibo
Difference ya si na Gava tunawork for the people

Ju kitu ni nono, ey flow kali tena nono
Mbogi biggy manze yenyu ni ndogo
Mtu sita ndo mjue ni zogo aah
Mmh wacha katambe men, 2020 mi silali

Mi ndo ule ulionywa na mzazi
Pewa wembe nika-sharpen makali
Like oof wewe ni nani msee?
Menu mi sijali nimekula shida mpaka na maji
Wengi wenyu mkikula kibabi
Yeah flow tight than yours wide
Zenyu ni koro na yangu ni virgin
Nikingwai nitaball all night
Ndio nikafunge mokoro awe ganji 
Kong, yeah ju kitu ni nono nimeleft
Sheesh you don't know (Yeah)

[Chorus]
Hii kitu ni nono
Denge nimsimame kama konokono
Spliff ni kwa mkono
Mdomo ya denge manze si ni lolo

Hii kitu ni nono
Denge nimsimame kama konokono
Spliff ni kwa mkono
Mdomo ya denge manze si ni lolo

[Ssaru]
Kuna mtu amekuja kuchachisha, nani? Ssaru wa Manyaru
Cheki venye mnanikaribisha, na nini? Mmmh kinyaru
Alafu na plate ya pilau, na nyi ndo mnakuwanga wadau
Majina zenyu nishasahau, alafu huwa sipendi dharau

Kwanza hizo za kina Kamau na sipendi pia za Musau
Leo nimekuja na katot kwa hii fore nimekuja kupoach
Siku hizi huku mi ndio coach so unaeza ni-approach
Naskia ati mnaniitanga boss na eti mnaeza ni adopt

Mnaniomba mapicha mpost, bro hiyo itawacost
Nimekuja na moto mkali, fire extinguisher inazima nani?
Nataka tu daktari mwenye atanipea dawa fulani
Ata akinipa kachali, who chuma inalala ndani
Ata akinipa kachali, who chuma inalala ndani
Ati ata akinipa kachali, what? chuma inalala ndani

[Mastar Vk]
Afande, weh, kitu ni nono, ooh baby you don't know
Nachapa ka box ya mono, nafanya hadi arushe mikono
Nateka goshodo nachapa nachapa nafinya ata ka niko donyo
Epuka mapoko ju pongi inanuka na bado ina kisonono

Ka daily ni ka niko soko venye mangoko wananihanya
Wao hupenda kucheza na mboko 
Kwanza ile gethaa wameshinda wakinyanya 
Afande analeta mashida na roll kwa rodi na dinga

Ndole kwa wenye wanaringa na ball ni ka ni Mariga
Navuta mangwelo na cigar, saba ukichora napiga
Haga si biggy ni bigger, Vk anikwame ka tinga
Mi rapper, mi singer, na bado nacheza ka winger
Mangoto kwa kila finger alafu natoka wajinga
Ngoma ni tamu ka tende, jibambe ka uko matembe
Ka unanipenda nikembe, songa ni kama ni sembe

[Chorus]
Hii kitu ni nono
Denge nimsimame kama konokono
Spliff ni kwa mkono
Mdomo ya denge manze si ni lolo

Hii kitu ni nono
Denge nimsimame kama konokono
Spliff ni kwa mkono
Mdomo ya denge manze si ni lolo

Watch Video

About Kitu Nono Remix

Album : Kitu Nono Remix (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 10 , 2020

More BREEDER LW Lyrics

BREEDER LW
BREEDER LW
BREEDER LW
BREEDER LW

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl