

Denri Lyrics by BREEDER LW
Jangili, haram, bazenga
Alma, Rap Kirubi
Ushaipiga all white uking'aa ka malaika
Bagiko ya Denri ndani ngiri ka tisa
Nilifika manduru waroro kuwika
Ka hujadunga Denri basi Asta Lavista
Denri ni leather, feel hio texture
Na space pia ni bigi ya maGbag marizla
Hood nikipiga ndo sura naficha
Kila kitu ni Denri kile imebaki ni sneakers
Drip ka vyombo zimeoshwa sahii
Tisho piga fiting ndio msupa atii
Kabla ufike ligi ya cladi za mi
Kwanza jua bei ya Denri ndo upime my G eeh
Vako za begiko ni Denri (Denri)
Fake Fendi ondoa chagua Denri (Denri)
Cheza ki wewe cheza ki Denri (ki Denri)
Lenga ma Daso chukua chukua Denri
Vako za begiko ni Denri (Denri)
Fake Fendi ondoa chagua Denri (Denri)
Cheza ki wewe cheza ki Denri (ki Denri)
Lenga ma Daso chukua chukua Denri
--
-
Watch Video
About Denri
More BREEDER LW Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
See also
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyricsÂ
Follow Afrika Lyrics
© 2021, New Africa Media Sarl