Boss Ofkos Lyrics by BREEDER LW

Bazenga!

Mi ni bazu hata credentials zilichange
Na hatuko same mi ni mspecial mi ni gem
Sifiki na Range napull up na mbogi strange
Looku pia ni mbaya tuko dripping for days

Na ka we ni boss ofkos, marashi ni Hugo Boss
Ndula FILA mbere mbichi kama general
Na ka we ni boss ofkos, marashi ni Hugo Boss
Ndula FILA mbere mbichi kama general

Boss up, boss up hii mwaka jo hio ndo lingo
Ganji kwa pori siwezi sota nibaki zero
Mboka ya profit ndio nishindage mangiko
Nikikucheki na nisibonge ju sikupendi we ni mrazi

Revenue commerce hio ndo sylabbus
Ikus nawai bure kama msupa ni generous
Murder kila track man am wavy siwezi rust
Tenje pia iko silence siwezi cheki ka unaflash

Niko kila mahali on your faces kama mask
Chuo nilikuwa nakinda mashashola after class
Lakini bado Breeder after teo index one
Nowadays shilingi ndo hunifanya nikuwe mnuts

Eey TK leta zogo ka una guts
Staki hype ju ni kitu haiwezi last
Na we kiroll na ukipass ukipuff
Man a boss nina briefcase ina cash

Mi ni bazu hata credentials zilichange
Na hatuko same mi ni mspecial mi ni gem
Sifiki na Range napull up na mbogi strange
Looku pia ni mbaya tuko dripping for days

Na ka we ni boss ofkos, marashi ni Hugo Boss
Ndula FILA mbere mbichi kama general
Na ka we ni boss ofkos, marashi ni Hugo Boss
Ndula FILA mbere mbichi kama general

[Boutross]
Unaringa na ngeus anakaa Semenya ukijidai we ndo boss
Vile ukidinya huyo dem uligenya ndo tukajua we ndo msoto eey
Vile mi huchill na mangeus wa vitenge lakini hawajui jollof
Vile ulimi ilipatana na senye --

Niliskia Clue ni sos, but huplay mangoks
Tangu nichote wote wasupa mtaani wakiitikia mamboga
Mi nilishindwaga boss mbona punani ni soft
Mbona malaya hupeana -- like a boss yeah

Mi ni bazu hata credentials zilichange
Change change change change
Sifiki na Range napull up na mbogi strange
Strange strange strange strange

Mi ni bazu hata credentials zilichange
Na hatuko same mi ni mspecial mi ni gem
Sifiki na Range napull up na mbogi strange
Looku pia ni mbaya tuko dripping for days

Na ka we ni boss ofkos, marashi ni Hugo Boss
Ndula FILA mbere mbichi kama general
Na ka we ni boss ofkos, marashi ni Hugo Boss
Ndula FILA mbere mbichi kama general

Watch Video

About Boss Ofkos

Album : Boss Ofkos (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 TK (Tough Klan)
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 23 , 2021

More BREEDER LW Lyrics

BREEDER LW
BREEDER LW
BREEDER LW
BREEDER LW

Comments ( 0 )

No Comment yet

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl