Bila Bazenga Inaboh Lyrics
Bila Bazenga Inaboh Lyrics by BREEDER LW
We ulipitwa na wakati
Mi niko ahead of my time
Floor yako imebeat hainyc
Na mi nakuja na the new design
Vile underdog nimerise
Madoggy za kwenyu hazinyori hizi sides
Kwa mikono za Jah na-reside
Mabani wote watarecognise ah
Nafufua rap mi ndo remedy
Songa mbali ka una negative energy
Nisiporoga si nitadedi mi
Nitaroga hadi nigonge ka seventy
Bazenga dadii jina biggy
Itabidi hadi Uhunye anipe kazi kwa ministry
Naogopa pongi unatupa hata kushinda pongi ina syphilis
Nikistep ni ma-timber oriji, leather feel hiyo texture
Na-excel kwa hii fani ya muziki
Mrazi keti upigwe ki-lecture
Siku hizi wakitaja quotation
Kile nasema ni ongeza pesa
Siku hizi niko on rotation
Utadhani naishi maisha kwa blender
Uh msupa magician ju amefanya chuma ikambao
Ligi si mia ni thao, nashika hisia zao
Mambus wanateta ni how? Fimbo haitoshei kwa trao
They say I'm busy and proud
When the money came around
We ni fala ju ulidoubt hii skill
Mfalme ni mimi si wao
Uh hype na ambition
Ni vitu mbili niko nazo kwa wingi
Ni Breeder tu na BBI kwa hizi gazeti na TV
Unatakaje kukafunga na huna bidii kwa CV
Mi hukata waba na Joe Muchiri hapo ndani 18
Impsossible kunibeat ka kudishi crips na uma
Wakingoja nifall off ole wao mi navuma
Mitego zao niliruka ka ile logo ya PUMA
Mi hupendaga ma petite ka ile figa ya Huddah
Tenje inalia, guess ni nani anadunga?
KOB bana niko na shoot niokolee kidinga
Flow ni mbaya nahitaji G bag basi leta booster
Ambia marapper moto nawasha hawataweza zima
Ah tenje inalia, nani tena anavuta?
'Breeder bana mi ni rapper na nataka favours'
Iza bana ka ni verse ujue nai-quote a mita
Hujai skianga hizo mabere mi hushika na doh za feature
Uh tulia, ka sina form nimetulia
Kejani wasupa ka kumi na
This year watanichukia
Sishiki cladi za Jumia
Nikifika ni ka movie yah
Hollywood kwenye cinema
Drip imejaza ma jerrycan
Bongi imejaa seminar
Ndani ya booth na Berinjah
Ngoma zote zina enea
Kwa club pandemonium
Ju Bazenga Dadii ako area
The louder the merrier
TK si ni sheria
Nikiifanya na-deliver
Yoh yoh yoh bazenga dadii
Cobra TK, you don't know
Breeder LW manze
Sijui hawa wasee ata tunashindaniaga nini
Uko chini bila Breeder inaboo manze
Vile naifanya ni mbaya ni mbaya sana
Siezi legea ju leo si ka jana
Manzi hunihold ka taya za Hammer
Fire in the booth the mic is on fire]
-- killer for hire
Murder Mc's wabaki so dire
I fuck the game fi easy no gainer
Na mfalme ni mimi hapa no bias
Watch Video
About Bila Bazenga Inaboh
More BREEDER LW Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl