Bazenga Valentines Lyrics
Bazenga Valentines Lyrics by BREEDER LW
Yoh Hello,
Niaje msupa wa ile smile ya ki princess
Bazenga Daddii umenibamba nina interest
Picha zako zinafaa ziuzwe hapo Pinterest
Na una vako ziuni nice ju ni different
Hii valentines vile imefika nina swali mingi
Tukienda date ka chapo dondo na ka firi firi
Tuki sip ka lemon tea na ka tangawizi
Utanitoka ama bado utastick na mimi
Ju nakupenda vile Rao hupenda politics
So round saba bila break hio ndio policy
So twende wapi ata Sarova me ntalipa bill
Ju hawa wasanii hutaka feature hulipa deposit
Ushai jicheki kwa kioo vile we ni snack
Uniite Daddii aki walai me nta roger that
Unadai pete na maua me nadai paka
Ju una sauce na una flavor huwezi isha ladha
Nikikusho upike omena utapika kweli
Na ka mathako hanitaki utanipenda kweli
Ukinipata na morio wako utado nini?
Ju unajua me star kama Bruce Willis
Tupost selfie IG na ki caption
Crush wako alete zogo,makahasho
Usafi flani na hujai nuka jasho
Si ata pongi iko ina arufu tu ya passion
Na me rapper ntakusuka ,utatii
Ulimi tamu kama biscuit za nuvita mamii
I'm a G,na vile we hunitoleanga njeve
Heads up, fika early ,gate hufungwa by 11
Na ukifika usi knock, doors open
Ukitaka ata ingia joh na ndulla no problem
Pizza inn,Chicken inn hizo zii me ni Bazeng
Labda strong tea na makeki hazina icing
Basi wapi deep end,naeza dive in
Siri zako zote we huchora kwa diary
I hope we si minor,una ID
Tuanze 3 ngware tumade by 6
Ma please call me na reverse call
Ju ushani miss na unadai niku sample
Baby Boo, bila make up you still glow
Pombe sigara naeza acha bila struggle
Ikikuja kwako,Ni addiction niko nayo
Ntaku dedia ka nyayo ni me Messi si Adebayor
So tuki set, tuki blaze tumalize mkutano
Wasupa wengi niko nao ntachorea
Prada na Gucci ndio me ntakunyeshea
We ni wa uptown, Westy ama Kile
We hudunga ma crop top, me hudunga ma berret
Nisipo text we hujam saa zingine
I'll make it up to you,fast usipime
Na hapa Kenya I'm the best in the business
Jua unakatiwa the best,The illest
BAZEEEENNGA!!!
Watch Video
About Bazenga Valentines
More BREEDER LW Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl