Mungu Halali Lyrics

BLINKY BILL Kenya | Afrobeats, Dance/Electronic

Mungu Halali Lyrics


[CHORUS]
Nimepitia majanga majubwa lakini
Mungu Halali oh
Ningepotea nisipatikane lakini
Mungu Halali oh
Nasema kweli
Oooooh ooh Mungu Halali oh
Oooooh ooh Mungu Halali oh

Si lazima unikumbushe kuwa Mimi
Mwenye dhambi
Najua Tena sana oh najijua Tena sana oh Oooooh
Si lazima useme kuwa mnyonge Hana haki
Naona Kila siku oh tunaona Kila siku oh Oooooh
Kwa neema na simama
Ile mwamba Ni salama
Binadamu hanitishi
Mimi natembea kwa imani eh
Kwa neema na simama
Ile mwamba Ni salama
Binadamu hanitishi Mimi
Natembea kwa imani

[CHORUS]
Nimepitia majanga majubwa lakini
Mungu Halali oh
Ningepotea nisipatikane lakini
Mungu Halali oh
Nasema kweli
Oooooh oo  Mungu Halali oh
Oooooh o oh Mungu Halali oh

Ashajionyesha, Anajionyesha, Atajionyesha
Ashajionyesha, Atajionyesha


Hanging in the hustle of life as I become
Something much more than I could try
Tried in the shadow of death oh I arose
And I have lived beyond my path
Though you beat me down
I won't stay down
Though you kick me down (I won't stay down)
Though you beat me down (I won't stay down)
Though you kick me down


[CHORUS]
Nimepitia majanga majubwa lakini
Mungu Halali oh
Ningepotea nisipatikane lakini
Mungu Halali oh
Nasema kweli
Oooooh ooh Mungu Halali oh
Oooooh ooh Mungu Halali oh

Ashajionyesha, Anajionyesha, Atajionyesha
Ashajionyesha, Atajionyesha ooho

BLINKY BILL (3 lyrics)

Blinky, Bill Sellanga, is a recoding artist, Music Producer and DJ from Nairobi, Kenya, born on August 24, 1982.

Leave a Comment