Anaona Lyrics
Anaona Lyrics by BEN CYCO
(Ayo Alex)
Yes siz, yes siz
Yale unapitia
Anaskia, anaskia
Kabla hujamwambia
Issue gani hiyo? Issue gani?
Issue gani hiyo?
Ooh oh oh kwake kubwa hiyo
Kwake kubwa hiyo oh oh oh oh
Ye si kipofu
Anakutakia mema si maovu
Ye si kipofu
Anakutakia mema si maovu
Anaona-na, Anaona-na
Yanayokutoka machozi anaona
Anaona-na, Anaona-na
Yeye ni wako mwokozi, anaona
Ninapolia asikia
Nikianguka ainua
He lifts me up
(Lift me up) Hey
Machozi yangu ayafuta
Nikilemewa anishika
Yes He see's anaona
Yes He see's anaona
Yes He see's anaona
Ye si kipofu
Anakutakia mema si maovu
Ye si kipofu
Anakutakia mema si maovu
Anaona-na, Anaona-na
Yanayokutoka machozi anaona
Anaona-na, Anaona-na
Yeye ni wako mwokozi, anaona
Anaona ona ona
Oh oh oh oh
Anaona ona ona
Oh oh oh oh
Yesu anaona
Oh aee ye si kipofu
Wakati wake sawa
Oh aee usiwe na hofu
Yesu anaona
Oh aee ye si kipofu
Wakati wake sawa
Oh aee usiwe na hofu
Ye si kipofu
Anakutakia mema si maovu
Ye si kipofu
Anakutakia mema si maovu
Anaona-na, Anaona-na
Yanayokutoka machozi anaona
Anaona-na, Anaona-na
Yeye ni wako mwokozi, anaona
Anaona-na, Anaona-na
Yanayokutoka machozi anaona
Anaona-na, Anaona-na
Yeye ni wako mwokozi, anaona
Anaona ona ona
Oh oh oh oh
Anaona ona ona
Oh oh oh oh
Anaona ona ona
Oh oh oh oh
Anaona ona ona
Oh oh oh oh
Yesu anaona
Wakati wake sawa
Anaona!
Watch Video
About Anaona
More BEN CYCO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl