Pafecto Lyrics
Pafecto Lyrics by BAGUJE
Mkulima mwenye uwezo
Na we ndo nyenzo
Tufanye yetu tutoboe
Najihisi nisiwe na magendo
Siachi pengo
Nijage kwenyu nikuoe
Unanihamasisha
Fanya nisipoe
Na mizuka imeshanipanda
Mi nawaza nioe
Kwa muda gani?
Muda wowote ukija nitaka nipo
Nipo kwa ajili yako
Kama nikubaligi niko
Mi niko, mi niko
Na nina macho
Japo ila kama chongo
Maana sionagi kando
Kama nikubaligi niko
Mi niko, mi niko
Najua kama uko pafecto(Ayee)
Na penzi lako moto(Ayee)
Kwako mi kama mtoto(Ayee)
Nishushe ikipenda tempo
Najua kama uko perfecto
Oooh kama perfecto
Nikuwe kama mtoto
Nishushe ikipenda tempo
Nitakutunza ka mboni
So baby would you marry?
Mi ndio pantoni
Nipande nikuvushe ferry
Am so horny
Nahisi sawa ka kuku mwenye kideri
Ka kuku mla githeri
Nitunuku penzi la kweli
Ahaa!
Uko pafecto for sure, can't deny
Na una sura ka Mobetto
Au nie(Haikatai)
----
Ni kama nimeokota
Embe mbichi kwenye mpapai
Kwa muda gani?
Muda wowote ukija nitaka nipo
Nipo kwa ajili yako
Kama nikubaligi niko
Mi niko, mi niko
Na nina macho
Japo ila kama chongo
Maana sionagi kando
Kama nikubaligi niko
Mi niko, mi niko
Najua kama uko pafecto(Ayee)
Na penzi lako moto(Ayee)
Kwako mi kama mtoto(Ayee)
Nishushe ikipenda tempo
Najua kama uko perfecto
Oooh kama perfecto
Nikuwe kama mtoto
Nishushe ikipenda tempo
We darling
Kumbuka mapenzi si shari
Kumbuka washenzi hatari
Wanaibaga mchana jua kali
Watch Video
About Pafecto
More BAGUJE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl