Nikagongee Remix Lyrics
Nikagongee Remix Lyrics by BADDEST 47
Ehh bwana mabaharia wenzangu eeh
Dah! sai mabaharia wameisha
Hapo nchi kavu mwamba hahhaha
Shishi beiby, Bad man badman
Bad girl
Tupo Shishi 40 tunalewa(Lewa)
Kamuita baharia kanielewa(Lewa)
Kaitisha si japo ameolewa(Lewa)
Nipe nijione nangekewa(Lewa)
Nikasema uchepe atanipa mapesa
Ati hanipi mi kwa bedi mwepesi
Ati anachenga magoli ka Messi
Nahisi waambia kama shosti
Kanivunja katikati, kati kati
Katamani pale kati, pale kati
Kalewa kibati bati, kibati bati
Kilichofuata....aaah aah
Asa sijui nikagongee nyagi(Eeh)
Au nikagongee veve(Eeh)
Sijui nikagongee banana(Eeh)
Au nikagongee Yokozuna(Eeh)
Asa sijui nikagongee nyagi(Eeh)
Au nikagongee veve(Eeh)
Sijui nikagongee banana(Eeh)
Au nikagongee Yokozuna(Eeh)
Nakwama chizi boti badman
Haka kamanzi sijui ka nani
Kanapitapita badman
Haka kamanzi hivi ka nani?
Mbona kama kila mtu yuko
Splugger bad swag yupo
Oya KB nawe upo
Edmond naye kumbe yupo
Asa sijui nikagongee nyagi(Eeh)
Au nikagongee veve(Eeh)
Sijui nikagongee banana(Eeh)
Au nikagongee Yokozuna(Eeh)
Asa sijui nikagongee nyagi(Eeh)
Au nikagongee veve(Eeh)
Sijui nikagongee banana(Eeh)
Au nikagongee Yokozuna(Eeh)
Kanivunja katikati, kati kati
Katamani pale kati, pale kati
Kalewa kibati bati, kibati bati
Kilichofuata....aaah aah
Haha hii ndo ile ambayo
Mabaharia wanaruka nayo unajua eeh, wote
Hommie, badgal
Shishi beiby, badgal
Anamoyo, badgal
Champaigne boy, bad man
Duruba duruba, bad man
Baddest, bad man
Alon, bad man, bad man
Maki, bad man
Mazuu, bad man
Of course am a, bad man
Ooh my God mi ni mwanamke
Ka ka ka kaushaa..!
Watch Video
About Nikagongee Remix
More BADDEST 47 Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl