Binadamu Lyrics
Binadamu Lyrics by BABA LEVO
Binadamu bwana
Kutwa wanasemana
Na kusegenyana
Mwisho ugomvi wanagombana
Binadamu bwana
Hawataki hata kusali
Kawi ni pombe na kamali
Kukatishana tama ufiki mbali
Binadamu bwana
Hawana shukurani
Hataumtoe vichakani
Kesho atakutukana hadharani
Binadamu bwana
Wanakesha kama popo
Hawa kidimbwi hawa koko
Ku jifanya wa kishua kumbe local
Binadamu bwana, Binadamu bwana
Binadamu bwana, Binadamu bwana
Binadamu bwana
Waonyeshe, Waonyeshe
Waonyeshe, Waonyeshe!!
Waonyeshe, Waonyeshe
Waonyeshe, Waonyeshe
Binadamu bwana
Umualike peke ake
Yeye atakuja Na shoga zake
Wale wanywe wakushune Aende zake
Binadamu bwana
Hawana tena siri
Umueleze mtu jambo
Mko wawili
Tena kesho utajakuta mtaa wapili
Binadamu bwana
Leo wanapenda
Yani mpaka na tatoo wanachorana
Esho penzi limekufa wanafutana
Binadamu bwana
Leo yuko samba
Kesho yuko yanga Ameshavimba
Sijasema ni manaa mi naimba
Binadamu bwana
Chiii!!! Chiii!!! Chii
Binadamu bwana
Chiii!!! Chiii!!! Chii
Binadamu bwana
Chiii!!! Chiii!!! Chii
Binadamu bwana
Enheee!!! Enheee!! Enhee
Waonyeshe, Waonyeshe
Waonyeshe, Waonyeshe
Waonyeshe, Waonyeshe
Waonyeshe, Waonyeshe
Watch Video
About Binadamu
More BABA LEVO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl