Kiuno Lyrics
Kiuno Lyrics by B CLASSIC 006
Emoji za makopa, ulivyochumbuka ka ushazama
Hupendi mambo na kumoka hupo kama umeshushwa jana
Mama nikupe chambo, kula samaki kanasa kwa chambo
Moja baridi mwanzo, shela kukuvisha sio kikwazo
Najua nakufollow follow kwako nimechizika
Sitaki niwe solo, solo kwako mi nabambika
Nifanye tuongee hunnie, haka kamoyo kwangu nitakupea
Nikuite sweetie hunnie, nikutunze kama mtetea
Napenda unavyokata kiuno, mmmh mauno
Napenda unavyorudi mauno, mauno
Napenda unavyokata kiuno, mmmh mauno
Napenda unavyorudi mauno, mauno
Ananipa panadol, panadol
Kifua ka kipago, kipago
Katoto ka miligado, migado
Kama mechi za kinyago, kinyago
My babe nikupe show za jang'ombe
Hicho kiuno kama mmakonde
Jipare twende out mama tukatambe
Ule wali mi nile magande
Your body fine wacha nikuhonge ngoro
Ayee nikuhonge ngoro
Ndo mi nalike umekuwa kama coach
Ayee umekuwa kama coach
Nifanye tuongee hunnie, haka kamoyo kwangu nitakupea
Nikuite sweetie hunnie, nikutunze kama mtetea
Napenda unavyokata kiuno, mmmh mauno
Napenda unavyorudi mauno, mauno
Napenda unavyokata kiuno, mmmh mauno
Napenda unavyorudi mauno, mauno
Baby na masafa mie
Nipe papa pako nining'inie
Ongeza mazaga mule kitunguu kachumbari nile
Ukipiga kimini unakaa poa
Unajua nina wivu mwenzako
Wasije wakakuteka, wasije wakakuteka
Napenda kauli yako baby
Umesema mi ni wako tu
Wengine watasubiri daily
Wakingoja mi uniwache tu
Nifanye tuongee hunnie, haka kamoyo kwangu nitakupea
Nikuite sweetie hunnie, nikutunze kama mtetea
Napenda unavyokata kiuno, mmmh mauno
Napenda unavyorudi mauno, mauno
Napenda unavyokata kiuno, mmmh mauno
Napenda unavyorudi mauno, mauno
Watch Video
About Kiuno
More B CLASSIC 006 Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl