
Ndovu ni Kuu (Remix) Lyrics
Ndovu ni Kuu (Remix) Lyrics by ALPHA QUEEN
Vile inabam bam madem wana ubaya
Niko na tam tam maboy wanaona fire
Kosea uniite fan girl hauskii hizo ni hekaya
Brayo na Kevo hawawezi ni acquire
Tulikuwa na mandela shule moja ndani ya choir
Siku hizi vile anahema round moja ananigwaya
Nina ringa sana flat tummy sina tire
Niko na kila kitu kitu sinanga ni haya
Chali yangu akiitwa K.U nitakataa
Hakunanga machali K.U nimekataa
Unapata chali first year ni introduction
Baada ya wiki mbili anadai reproduction
Alpha ni queen itabidi jo ni win
Washa ki green, yes me
Alpha ni queen itabidi jo ni win
Washa ki green, yes me, me
Watch Video
About Ndovu ni Kuu (Remix)
More ALPHA QUEEN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl