Fundi Lyrics
Fundi Lyrics by ALICIOS
Chonde chonde my honey
Naomba tucheze wote
Nijie hata ndotoni
Nikuone mara nyingine
Nifike ukingoni
Kwa mbio za sakafuni
Nidondoshe woshee
Vilivyokuwa mtini
Leo mawazo ya zamani yamenipanda mwenzako
Nimemiss uwepo wako na kupewa vimpapaso
Kurusha kuchanga changa kama tunacheza udako
Na vile vichenga chenga vya maudhi kimnato nato
I miss you baby, ni mda umepita sijakuona
I miss you baby, jua nikikuona roho yangu itapona
I miss you baby, naumia nalia
I miss you baby, we ndo tiba yangu nipe matibabu
Unikoleze, unikoleze
Unikoleze
Unikoleze, unikoleze
Unikoleze
Majame ata usipokuja atakupwa
Kipya kinyemi leo nataka pata
Usijivunge mpenzi
Palipochomoka naomba chomeka
Cha kwako tute leo nimekisusa
Jimwae mwae mpenzi
Baby mimi kwako toy
Niongoze mbele mwenzio
Nizae wako koroboi
Niangazie kwenye mbio
Wajuba na wamasamboi
Wasikushike masikio
Begani kwangu upo ndui
Umetulia
I miss you baby, ni mda umepita sijakuona
I miss you baby, jua nikikuona roho yangu itapona
I miss you baby, naumia nalia
I miss you baby, we ndo tiba yangu nipe matibabu
Unikoleze, unikoleze
Unikoleze
Unikoleze, unikoleze
Unikoleze
Mpishi chochea kuni (Unikoleze)
Zilipuke moto (Unikoleze, unikoleze)
Baby (Unikoleze) nikoleze (Unikoleze)
Nikoleze (Unikoleze)
Fundi chochea kuni (Unikoleze)
Zilipuke moto (Unikoleze, unikoleze)
Nikoleze (Unikoleze, unikoleze)
Nikoleze (Unikoleze)
Watch Video
About Fundi
More ALICIOS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl