Usifiwe Lyrics
Usifiwe Lyrics by ALICE KIMANZI
Wewe ni mwema, wewe ni mwema
Mungu, wewe ni mwema
Juu yako, hakuna mwingine
Wewe ni mwema, usifiwe
Wewe waweza, wewe waweza
Mungu waweza
Juu yako hakuna mwingine
Wewe waweza, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Wewe mshindi, wewe mshindi
Mungu, wewe mshindi
Wakati wa vita, wanipa ushindi
Wewe mshindi, usifiwe
Wewe watosha, wewe watosha
Mungu, wewe watosha
Wanitosheleza na sitaki mwingine
Wewe watosha, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Uhimidiwe, Mungu wa miungu
Wewe mwenye nguvu
Mungu mkarimu
Uhimidiwe, Mungu wa miungu
Wewe mwenye nguvu
Milele amina
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Usifiwe, usifiwe
Watch Video
About Usifiwe
More ALICE KIMANZI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl