Tapika Lyrics
...
Tapika Lyrics by Alex Msafiri
Msafiri, ndio, jina, kamili, yaaahh..woah
Tapika
Hii beat ni ka my yak' inatapika
Tumepull up na gang kwa madakika
Kando nyuma mbogi bigi na kadhalika
Kwiva' kesha ndio injili ya ma party girls
Sana sana Sana sana Roysambu' girls
Weka Mchele ndani ya chai hadi sambusa
Bora usibambwe na huyo soja mwenye cardigan
Na akizusha mjenge kapa ama rwuabe girl
Na akizidi mjenge shoti moja baby girl
Baby girl Baby girl Just one Baby girl
Si ni riziki tunasaka kama 'nduru man'
Na msupake ako jake na manduru man
Anaishika anailamba kama lollipop
Uliza otieno' mi huwacheza kama polycarp
Uliza bien' mi huwacheza kama Polycarp'
Rada safi ka ni chafu buda safisha
Neighbour mpya keja yake tunasafisha
Na akihama tunamfuata na my 'baby love'
Purple G' na kakwota' kwenye studio
Na O-G na kakwota kwenye Radio
Studio sessions na changaa kwenye berringer
So kama ni maji huwa nakata bila aquaguard
Show za jiji mi huwa nakuja bila bodyguards
Na kapa wan chwani (150) kuappear any venue
Sana sana 'Sana sana' Belle Vue'
Ndio utanipata na maboiz wa umkoboti
Tukikunywa ni kama kesho haiwi shosti
Keg saba kila msee, warm water hatukosi
Jienjoyii, Na wadosi Kikaragosi Nikawa bosi
Yet na siflosi..wooh Jumamosi Nililala 'jozi' 'Kanyamozi'....wooh
Hiyo ngozi Inanichizishachizisha Wuehh
Tapika Hii beat ni ka my 'yak' inatapika
Bonga mbaya ukule saba kwa madakika
Don't test my gun Dats my baby love
Top two number one nyinyi Birmingham'
Kufika bash za kilimani' bila party cup
Ni ka kukuja bila fork kwenye potluck
Ulihama ghetto ukaenda kuishi pale hurligham'
Ukaget hooligans .. Hooligans takriban
Riddim kali sekondari bado 'bubblegum'
Sister school wakishake pale dinning Hall
Chini ya locker tukisaniff na class monitor
Campus life still the same insane party life
Works bado najinice bila consequence
Dare me ni 'finger-fuck huyo pretty girl
Na kinyasa utanipata ndani ya 'parliament'
Popular emcees nawageuzanga handicap'
Na hizi bars nawafunga kama tourniquet
Kyallo culture' export safi toka kambaland
Four some safi if u know me
I'm polygamous Ju mi ni 'mwa frika, uliza zach' mini,star 'Iko nini
Watch Video
About Tapika
More Alex Msafiri Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl