Ifunanya Lyrics
Ifunanya Lyrics by AISHA
Kwako Najidai Penzi Lako Ni Ladhati
Nawe Ninyonge Kama Tai Ndo Unifunge Kwenye Shati
Penzi Lako Ni Kirai Sintodata Na Vishazi
Ooh Baby Achana Nao Hawajui
Sitokuaradhi Uende Mbali Na Mimi Oh Wangu Kipenzi
Kwangu Kitu Wali Nazi Kachumbari Za Nini Hayo Mambo Sipendi
Na Kila Siku Namuomba Mwenyezi Ifu... (ifunanya)
Na Nna Wivu Kukuacha Ndo Siwezi Kizuwanda
Aida Yoyo Oyoo Aidama ( Aidama Yoyo Oyoo Ooh)

Honey Basi Acha Utoto Njoo Chumbani Aaah
Taratia Honey Mi Nataka Joto Wa Ubani Aaah aah
Mapenzi Safari Wengi Wameshindwa Kuifika
Tuendako Ni Mbali Nipende Kiangazi Masika
Sitokuaradhi Uende Mbali Na Mimi Oh Wangu Kipenzi
Kwangu Kitu Wali Nazi Kachumbari Za Nini Hayo Mambo Sipendi
Na Kila Siku Namuomba Mwenyezi Ifu... (ifunanya)
Na Nna Wivu Kukuacha Ndo Siwezi Kizuwanda
Aida Yoyo Oyoo Aidama ( Aidama Yoyo Oyoo Ooh)
Aida Yoyo Oyoo Aidama ( Aidama Yoyo Oyoo Ooh)
Aida Yoyo Oyoo Aidama ( Aidama Yoyo Oyoo Ooh)
Aida Yoyo Oyoo Aidama ( Aidama Yoyo Oyoo Ooh)
Aidama yoyo oyo
Aidama yoyo oyo
Watch Video
About Ifunanya
More AISHA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl